Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Habari za Usiku wakuu. Aisee mimi chakula ambacho sina allergy nacho ila kiukweli Hata upike Vipi Hauwezi kula kabisa kwa Upande wangu mimi ni BAMIA NA NYANYA CHUNGU..Vyovyote utakapopika mimi...
2 Reactions
95 Replies
8K Views
Wakuu,nimenunua jiko miezi 6 iliyopita ila sikuweza kulitumia sababu ya safari likawa ndani tu. Sasa juzi nachomeka mpira wa gesi ,mara kile kideude cha aluminium nyuma ya jiko kikavunjika na...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Mungu ni mwema kwa wote. Najiuliza unawezaje kula chakula ulichopika mwenyewe maana mi chakula nikipika kwa mikono yangu siwezi kukila yaani kinanikinai mapema. Nyie kwenu vipi mnatumia mbinu...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Hususan chakula kama wali au chai ili ipoe kidogo? Maana yake ndio zangu kama nina haraka. Kuna madhara gani kuweka kitu cha moto kwa friji?
1 Reactions
11 Replies
6K Views
Wadau juzi nilikuwa huko kanyigo-Bukoba. Kumbe senene wanafaa kwa supu?
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Ukiachana na wale wenzetu ambao wamesomea elimu ya kupika Vyakula mbali mbali, kuna sisi wapenda kula lakini kupika mtihani. Leo nimejiskia kupika firigisi na ugali. Sema hapa kwenye firigisi...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Ni ya vanilla na maziwa nimeipika kwa gesi tu. Nimetumia Unga:250g Sukari (icing suga):200g Mayai:5 Maziwa:vijiko vitatu vya chai Vanilla:kifuniko kimoja Butter:250g Baking powder:2teaspoon...
5 Reactions
5 Replies
3K Views
Wadau habari zenu Naombeni ushauri wa namna ya kula, na vyakula gani nikila ndani ya muda mfupi nitanenepa . Nilikuwa mnene wa wastani kwa kipindi cha mwaka mzima nikawa busy sana na kazi naweza...
0 Reactions
28 Replies
14K Views
Wakulungwa! Hii huwa sielewi, kuna chemistry gani kati ya bia na bisi, ? Maana huwa nikifika tu bar, utakuta mdada mrembo,ananiletea bisi, baada ya kuagiza vyombo. Au ndio yale yale, siku hiz...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Unapaswa kuvijua ili upunguze matumizi yake kila siku kwa kuepuka kwa kinga zako kudhofika na kupungua, kuongeza sumu kwenye mwili na kinga zako, kudhofisha viungo mbalimbali na kupelekea saratani...
1 Reactions
60 Replies
55K Views
,.........habarini wana jf...... Kila mmoja anajua kuchemsha chai ila ni wachache wanajua kupika chai [emoji626] Chai n pishi kama pishi nyingine ,,,lakini tunavyoliandaa wengi wetu hukosea...
4 Reactions
13 Replies
12K Views
Habari zenu wote natumai mu wazima Mimi nimuajiriwa ila nahitaji kipato cha ziada mara kwa mara nimekuwa nikijaribu kutengeneza ubuyu lakini umekuwa hautokei kama unavyo paswa sasa nashindwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tunavyokula kuna athiri jinsi tunavyojisikia. Inatakiwa unapokula uwe unajisikia vizuri. Kuna wengine wakila wanajisikia tofauti. Ukila sana au kidogo vyote vinaweza kukufanya kusikia vibaya ...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Hawali ya yote naomba radhi kwa kuandika Vyakula ivi kwa lugha ya kingereza MTOTO MDOGO anatakiwa ale mlo kamili yaani appetizer,main meal,pamoja na desert na Vyakula hizo zinatakiwa ziwe na lishe...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Kuna mtu amewahi kujaribu kuunga karanga kwa kitunguu na nazi kama unavyounga maharage akaona inakuaje ukila na wali? Naona kama karanga ni laini na tamu kuliko maharage, njegere...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Wakuu nipo maskani Leo mda huu ndo nimemaliza kufua.. Ndani Nina Mayai Viazi mviringo. Unga wa mahindi Mchele Samaki... chuzi/sotojo lililobaki Jana.. Naombeni msaada nipike Nini cha fasta Nile...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa utafiti wangu wanawake wengi wa siku hizi hawajui kupika au mapishi kwa ujumla wake. Wanawake wengi wa siku hizi wanaamini viungo vingi kwenye mboga ndio mapishi mazuri. Mbona inawekewa...
17 Reactions
75 Replies
11K Views
Habari wanaJF. Naomba mwenye utaalam wa kuandaa makange anijuze tafadhali.Nimetokea kufurahia huu msosi sema sina utaalam wa kuuandaa.Jioni njema
0 Reactions
17 Replies
29K Views
Siujui Mimi tu kwa kweli matikiti maji hayana ladha kabisa ukilinganisha na matunda mengine mfano machungwa, embe na kadhalika. Kama vile unatafuna maji badala ya kuyanywa - ndio maana yanaitwa...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Inafaa kwa mabachela kama mimi nimejipikia haraka sana bila kuchelewa nikala nikashiba mchana ukapita. Mahitaji. Chumvi Mafuta Kitunguu kimoja Samaki wa kukaanga. Nyanya (idadi uipendayo) Jinsi...
8 Reactions
19 Replies
6K Views
Back
Top Bottom