Vyakula 10 vyenye tindikali (acid)

MKALI WA MAMBO

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
211
145
Unapaswa kuvijua ili upunguze matumizi yake kila siku kwa kuepuka kwa kinga zako kudhofika na kupungua, kuongeza sumu kwenye mwili na kinga zako, kudhofisha viungo mbalimbali na kupelekea saratani pamoja na kufail kwa viungo mbalimbali vya mwili kama vile ini na figo.

1. Maji ya kunywa ya viwandani mengi pH zake zipo.kati ya 6 badala ya 7 (natural)

2. Nyama nyekundu e.g Ng'ombe

3. Maharagwe

4. Sukari e.g Miwa

5.Mafuta ya kupikia e.g Pamba

6. Mahindi makavu

7. Soda

8. Maziwa e.g Ng'ombe

9. Pombe

10. Vyakula vya ngano e.g Mikate
FB_IMG_1537104110703.jpg
 
Okey, Umegusa ndipo sasa naomba jibu lako kulingana na ulichokiandika.

Pamoja na hayo, kwa maisha ya kitanzania hivyo ni vyakula vya kawaida kwa kila mtanzania wa hali yoyote iwayo ile.
Sasa naomba uweke facts zako ku prove hii mada yako, katika hizo side efffects ulizo ainisha hapo.

Wewe usikurupuke kutoka huko whatsaap na kutuletea manyoka nyoka huku.

Nipo tofauti na mada yako. Japo nakupa asante kwa kuwakilisha mada yako.
 
Okey, Umegusa ndipo sasa naomba jibu lako kulingana na ulichokiandika.

Pamoja na hayo, kwa maisha ya kitanzania hivyo ni vyakula vya kawaida kwa kila mtanzania wa hali yoyote iwayo ile.
Sasa naomba uweke facts zako ku prove hii mada yako, katika hizo side efffects ulizo ainisha hapo.

Wewe usikurupuke kutoka huko whatsaap na kutuletea manyoka nyoka huku.

Nipo tofauti na mada yako. Japo nikupa asante ya kuwakilisha mada yako.
Akikujibu unitag
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom