simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,206
Siujui Mimi tu kwa kweli matikiti maji hayana ladha kabisa ukilinganisha na matunda mengine mfano machungwa, embe na kadhalika. Kama vile unatafuna maji badala ya kuyanywa - ndio maana yanaitwa tikiti maji. labda matikiti yawe na faida nyengine mwilini hili ladha tikiti maji ziro kabisa.