Naomba kufahamu jinsi ya kutengeza yorghut

david Junior

New Member
Dec 30, 2017
3
0
Habarini... naomba kufahamu jinsi ya kutengeza yorghut kwa yeyote mwenye uzoefu nayo....asante.

------
Wengine kiingereza hatujui mkuu. Yoghurt ndio mtindi?

Kama ndio basi fanya hivi...

Andaa vifuatavyo;
Maziwa ya maji kiasi upendacho
Mtindi kiasi
Sufuria safi
Chujio
Chombo cha kuhifadhia maziwa kisafi chenye mfuniko

Chemsha maziwa yako vizuri kabisa, yaache yapoe, yakipoa yachuje ili kuondoa ule utando wa juu.

Kisha changanya na mtindi (lita tano ya maziwa weka glass moja ya mtindi) yakoroge vizuri yachanganyikane, kisha funika vizuri weka sehemu safi.

Baada ya masaa kumi na mbili mtindi wako utakuwa tayari, koroga vizuri na tayari kwa matumizi.

Ziada: lita tano ya maziwa inawekwa glass moja ya mtindi, hivyo ikiwa chini ya hapo jitahidi kukadiria.

Wenye ujuzi zaidi watatujuza.
 
Kisha changanya na mtindi (lita tano ya maziwa weka glass moja ya mtindi) yakoroge vizuri yachanganyikane, kisha funika vizuri weka sehemu safi

Baada ya masaa kumi na mbili mtindi wako utakuwa tayari, koroga vizuri na tayari kwa matumizi

Ziada: lita tano ya maziwa inawekwa glass moja ya mtindi, hivyo ikiwa chini ya hapo jitahidi kukadiria

Wenye ujuzi zaidi watatujuza
Ndo yanakuwa na ladha tamutamu? Maana ule mtindi wenyewe mchachu mi huwa napita mbali nao.
 
Wengine kiingereza hatujui mkuu. Yoghurt ndio mtindi?

Kama ndio basi fanya hivi...

Andaa vifuatavyo;
Maziwa ya maji kiasi upendacho
Mtindi kiasi
Sufuria safi
Chujio
Chombo cha kuhifadhia maziwa kisafi chenye mfuniko

Chemsha maziwa yako vizuri kabisa, yaache yapoe, yakipoa yachuje ili kuondoa ule utando wa juu.

Kisha changanya na mtindi (lita tano ya maziwa weka glass moja ya mtindi) yakoroge vizuri yachanganyikane, kisha funika vizuri weka sehemu safi.

Baada ya masaa kumi na mbili mtindi wako utakuwa tayari, koroga vizuri na tayari kwa matumizi.

Ziada: lita tano ya maziwa inawekwa glass moja ya mtindi, hivyo ikiwa chini ya hapo jitahidi kukadiria.

Wenye ujuzi zaidi watatujuza.
Yakishaganda chukua Strawberry robo kilo changanya na maziwa robotatu litre Breand kisha unapata yoghurt kama zile za ASAS
 
Wengine kiingereza hatujui mkuu. Yoghurt ndio mtindi?

Kama ndio basi fanya hivi...

Andaa vifuatavyo;
Maziwa ya maji kiasi upendacho
Mtindi kiasi
Sufuria safi
Chujio
Chombo cha kuhifadhia maziwa kisafi chenye mfuniko

Chemsha maziwa yako vizuri kabisa, yaache yapoe, yakipoa yachuje ili kuondoa ule utando wa juu.

Kisha changanya na mtindi (lita tano ya maziwa weka glass moja ya mtindi) yakoroge vizuri yachanganyikane, kisha funika vizuri weka sehemu safi.

Baada ya masaa kumi na mbili mtindi wako utakuwa tayari, koroga vizuri na tayari kwa matumizi.

Ziada: lita tano ya maziwa inawekwa glass moja ya mtindi, hivyo ikiwa chini ya hapo jitahidi kukadiria.

Wenye ujuzi zaidi watatujuza.

Thank you for this useful comment comrade! 🙏

Let's meet at the top, cheers 🥂
 
  • Thanks
Reactions: Luv
Back
Top Bottom