Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Chemsha mchele, weka maji zaidi ya yale unayopikia wali, acha uchemke taratibu kwa jiko la imeme unaweza kuweka moto number nne. Baada ya dakika 20 zima jiko. Chukua bakuli la kuchanganyia, toa...
5 Reactions
5 Replies
8K Views
Sio kila siku uji wa ulezi tu jamani tuwe tunabadilisha ili kutowachosha walaji Mahitaji: Kiazi kitamu 1 (pia unaweza kuongeza vipimo kulingana na ukubwa wa familia yako) Maziwa fresh kikombe 1...
6 Reactions
10 Replies
7K Views
Habari zenu wadau ni masiku mengi sijatia mguu ndani hapa ila leo naomba msaada. Ni mchanganyiko upi wa vyakula unaomfaa mtoto wa kuanzia miezi mitano... Maana wengine wanasema Dagaa...
3 Reactions
82 Replies
74K Views
Mahitaji =Maziwa =Tende =Karanga unaweza pia kutumia almonds(lozi),korosho Namna ya kutengeza. =Toa tende makokwa =Weka katika blender pamoja na maziwa au aina ya nuts upendayo =Saga hadi iwe...
34 Reactions
163 Replies
111K Views
Wakuu nimeipa hii bidhaa mahala ila sijui jinsi ya kuandaa. Naombeni ufahamu. Natanguliza shukrani. Viazi vitamu vilivyokaushwa juani.
1 Reactions
21 Replies
7K Views
Nisiwachose let go straight leo nimepita zangu magomen pale sasa kuna kamgahawa nikawa nikawa nasikia harufu ya vitu vzr vzr Mzee baba nikajisemea leo ijumaa ngoja nijitose maana hapo zamani...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Huu utaratibu wa kukipima joto chakula kwa kutumia thermometer kama mgonjwa wa homa maana yake nini?
3 Reactions
26 Replies
5K Views
kuna dogo hapa nataka awe vegetarian/vegan... angalau afikie hatua awe anatafuna tangawizi kama karanga huku akitabasamu bila kukunja sura. kwa jiji la dsm, napata wapi haya mavitu...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Wadau wanao hitaji kujua jinsi ya kupika maharage Wadau samahani, Yani kila siku napojaribu kupika maharage ile natoka na kurudi ndani nakuta nyumba imejaa moshi vitu vimeungua sana. Yani hivi...
1 Reactions
209 Replies
57K Views
Hapa mnaweza laumu Kuwa wanaume hawatulii, hawali kwa wake zao n.k kumbe ni utamu wa vitumbua kama hivi. Ukikiona tu kwa nje unatamani ukile... Kimetuna, Kisafi kina mvuto. Tuelekezane mapishi...
8 Reactions
55 Replies
15K Views
Karibu tujifunze lishe Bora zenye Kinga mwilini 1: Kuna lishe ya protini Hii lishe usaifia nu lishe inayoitajika mwilini kwa Kasi kubwa kwani husaidia kukuza Mwili, pia huzuia magonjwa Kama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Leo hii tujifunze jinsi ya kupika tambi za mapapayu,usishangae ni katika ubunifu wa mapishi MAHITAJI Tambi za mapapayu (papayu lilokatwa maganda na kukatwa kwa urefu kama tambi) kiasi bakuli...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Mahitaji Ndizi mbichi 6 Nyama ya ng'ombe (nusu kilo) Viazi mviringo 2 Kitunguu swaum tumba tatu Tangawizi 1/2 kijiko cha chai Kitunguu maji kimoja kikubwa Nyanya 1 kubwa Mafuta (vegetable oil)...
8 Reactions
9 Replies
17K Views
nipo mbeya mtaa wa ikuti...naomba mnifahamishe ni wap au soko gani nnaweza kupata njugu mawe. Kwa yeyote anaejua anifahamishe please
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari za Usiku wakuu. Aisee mimi chakula ambacho sina allergy nacho ila kiukweli Hata upike Vipi Hauwezi kula kabisa kwa Upande wangu mimi ni BAMIA NA NYANYA CHUNGU..Vyovyote utakapopika mimi...
2 Reactions
95 Replies
8K Views
Wakuu,nimenunua jiko miezi 6 iliyopita ila sikuweza kulitumia sababu ya safari likawa ndani tu. Sasa juzi nachomeka mpira wa gesi ,mara kile kideude cha aluminium nyuma ya jiko kikavunjika na...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Mungu ni mwema kwa wote. Najiuliza unawezaje kula chakula ulichopika mwenyewe maana mi chakula nikipika kwa mikono yangu siwezi kukila yaani kinanikinai mapema. Nyie kwenu vipi mnatumia mbinu...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Hususan chakula kama wali au chai ili ipoe kidogo? Maana yake ndio zangu kama nina haraka. Kuna madhara gani kuweka kitu cha moto kwa friji?
1 Reactions
11 Replies
6K Views
Wadau juzi nilikuwa huko kanyigo-Bukoba. Kumbe senene wanafaa kwa supu?
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Ukiachana na wale wenzetu ambao wamesomea elimu ya kupika Vyakula mbali mbali, kuna sisi wapenda kula lakini kupika mtihani. Leo nimejiskia kupika firigisi na ugali. Sema hapa kwenye firigisi...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Back
Top Bottom