Mtaalamu wa Makange

Mbalapala

Senior Member
May 21, 2012
195
210
Habari wanaJF. Naomba mwenye utaalam wa kuandaa makange anijuze tafadhali.Nimetokea kufurahia huu msosi sema sina utaalam wa kuuandaa.Jioni njema
 
Kuna makange ya mbuzi na makange ya kuku.

makange ya mbuzi/kuku ni kwamba wanaanza kuchoma hiyo nyama ya mbuzi/kuku halafu unatengeneza mkaango au rosti ya:
nyanya
vitunguu
tangawizi
hoho
karoti
chumvi kiasi
na ndimu

Jinsi ya kupata idadi gani nikuokana wewe unataka iwe ya kutosha watu wangapi..

Nadhani umenipata kidogo mkuu
 
Lol! Asante mpenzi umeokoa unyumba wangu, kwan baba chanja ni kila uchao lazma aende mahala fulani kufata hiyo kitu.Sasa naanza kumtengenezea mwenyewe nyumani.Daa kapatikana.Asante wana JF ntawaona tena akiibuka na lingine.
 
Sawa. Siku akihitaji juice ya pilipili, yu jast piem mi
 
Ndiyo maana nilimuona mtu kama wewe pale. Mie hupoa kwa nje karibu na magari.

Makange ya rg nayafagi pia brajec savei.

Hahahahaaa....huenda ikawa kweli aisee maana kuna mdada mmoja alikuwa ananiangalia angalia sana siku ile. Hebu nambie ilikuwa lini....
 
Makange nini bana kitu kuku wa steam ni vitunguu, pilipili tangawizi anachemshwa uhondo anaiva mtupuuuuuuuuuu!!!
 
Hahahahaaa....huenda ikawa kweli aisee maana kuna mdada mmoja alikuwa ananiangalia angalia sana siku ile. Hebu nambie ilikuwa lini....

Ilikuwa wiki ya mwisho october kwenda nov, katikati ya wiki...mwenyewe nilisikia mtu anakuita NN na mnaongea kuhusu JF nikakukata jicho wee ila hukunisoma vizuri...makange ya calabash yametulia, rg kibokoo
 
Lol! Asante mpenzi umeokoa unyumba wangu, kwan baba chanja ni kila uchao lazma aende mahala fulani kufata hiyo kitu.Sasa naanza kumtengenezea mwenyewe nyumani.Daa kapatikana.Asante wana JF ntawaona tena akiibuka na lingine.

kwa kawaida vitu kama hivyo huwa vya nyumbani hata havinogi kama vya hukoooo wanakoenda kuvifuata, hata bia ya nyumbani hainogi kama ya baa, mpira wa kutazama nyumbani hauwi mtamu kama ule wa kwenye mkusanyiko wa watu, hata nyama choma, makange, kitimoto na vitu vya aina hiyo huwa vitamu vya mabaa/magenge kuliko home sijui kwa nini lakini ndio ukweli na kama ni mpenzi wa makange ataendelea kuyafuata huko huko alikozoea. hata chips za americanchips huwezi fananisha na za home!
 
Hao wa break Point chamtoto Nyani Ngabu, mambo yote Arusha..
Arusha kwetu napakubali kwa mapishimapishi hasa kwa wanywaji yaani huwezi kukosa appetite ya kula, kuna wazungusha mwiko hadi raha! mie katika tembeatembea yangu maeneo karibu yooote tz hii kwa kweli kuna mikoa ina majina makubwa lakini hawana mzuka wa msosi yaani unakuta vijiwe viwili vitatu tu ndio vinatajwa mji mzima mf. dodoma ni chakoni chako, mnadani na sehemu moja mbili lakini arusha kila mtaa
 
kwa kawaida vitu kama hivyo huwa vya nyumbani hata havinogi kama vya hukoooo wanakoenda kuvifuata, hata bia ya nyumbani hainogi kama ya baa, mpira wa kutazama nyumbani hauwi mtamu kama ule wa kwenye mkusanyiko wa watu, hata nyama choma, makange, kitimoto na vitu vya aina hiyo huwa vitamu vya mabaa/magenge kuliko home sijui kwa nini lakini ndio ukweli na kama ni mpenzi wa makange ataendelea kuyafuata huko huko alikozoea. hata chips za americanchips huwezi fananisha na za home!
American chips zinapatikana wapi maana naona zinasifiwa sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom