Kati ya nyama ya mbuzi, ng'ombe, kuku na ' kitimoto ', ipi ni nyama pendwa sana duniani kote ?

Hivi punde

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Messages
2,063
Points
2,000
Hivi punde

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2017
2,063 2,000
Wanabodi, poleni na majukumu ya maisha!Wewe unapenda nyama ipi kati ya kuku, ng'ombe, mbuzi na kitimoto ipi ni nyama pendwa sana kwako na huko duniani ulikopita pita?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
fundi bishoo

fundi bishoo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2018
Messages
5,762
Points
2,000
fundi bishoo

fundi bishoo

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2018
5,762 2,000
nyama ya chura ni tamu alafu inafuata nyama UA kiti nyuma
 
tozi25

tozi25

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2015
Messages
5,645
Points
2,000
tozi25

tozi25

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2015
5,645 2,000
Bata ananivutia ananivutia mwedo.๐Ÿ˜‹

Ndukiiiii ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ
 
mzamifu

mzamifu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2010
Messages
4,382
Points
2,000
mzamifu

mzamifu

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2010
4,382 2,000
UKiacha mambo ya imani mbuzi inaliwa na watu wengi zaidi na inaooonekana inapendwa zaidi.
 
katib mkoa

katib mkoa

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Messages
905
Points
1,000
katib mkoa

katib mkoa

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2015
905 1,000
Hivi nan alishawah dondosha mbuzi ubavu na chupa ya bakabi? Hatari mazee

Mbuzi mwisho
 
BLACK MARXIST

BLACK MARXIST

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2013
Messages
1,741
Points
2,000
BLACK MARXIST

BLACK MARXIST

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2013
1,741 2,000
Noa a.k.a Mdudu a.k.a Mbuzi katoliki, ukipiga na safari mbili baridiii yana roho inatakata.
 

Forum statistics

Threads 1,334,522
Members 512,012
Posts 32,479,022
Top