Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Wakuu naombeni ushauri wenu hapa, nimezidisha chumvi kwenye wali nimepikia kwenye rice cooker nifanye nini ili uweze kulika vizuri?? Chumvi nayo kiungo ila ikizidi lol
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Kutokana na kuwa na utumbo mdogo, watoto hawali sana.Ndio maana ni muhimu kuwa na uhakika wa chakula wanachokula kina lishe nyingi za kutosha na zote.Jifunze au jua jinsi ya kuweka muda wa kula...
10 Reactions
9 Replies
87K Views
Hayo ni maoni yangu binafsi wadau kulingana na uzoefu wangu Ukitaka akili iburudike basi pata mchemsho wa kahawa ya kienyeji na maziwa fresh Ni kinywaji kitamu hata harufu yake wakati...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba kufahamu juice ya machungwa ambayo haijachakachuliwa nataka iwe ya kiwandani, sitaki ya kujitengenezea. Inaitwaje? Full machungwa au??.
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kama Mimi kuna jamaa zangu mmoja hawezi kula ndizi mbivu anahisi atatapika, mwingine huyo anasema akila wali na soda basi lazima arudishe basi fuluuu raha unakuta mimi nafurahi kweli nasombelea...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Heshima kwenu wakuu, Mimi huwa napenda sana mayai ya kuchemsha, ila sijajua wakati wa kuchemsha unachanganya viungo gani. Nategemea kupata mgeni, mgeni wangu anapenda mayai ya kuchemsha na...
4 Reactions
18 Replies
10K Views
Tunapozungumzia kula kuku kwa ajili ya Afya zetu tunazungumzia kuku wetu wa kiasili au tunapozungumzia umuhimu wa kula mayai zaidi tunakusudia mayai bora ya kuku wetu wa Asili na mapishi yenye...
5 Reactions
6 Replies
14K Views
Virutubisho Ina umuhimu nyingi Sana katika mwili ya mwanadamu Vifuatazo Ni muhimu ya virutubisho katika mwili. 1: kwa mtoto humuongezea hamu ya kula 2: husaidia kuzuia upungufu wa damu mwilini...
0 Reactions
1 Replies
734 Views
Nimeagiza asali jion nikamwambia mamy ikifika aipokee... Muda si mrefu nimeionja nimekuta ina radha chungu, af nyeusiiii.... Asee huu ni uchakachwaji na si uchakachuaji huu, lohh!!!
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna jamaa ameshindwa kutoa mchanganuo wa Tsh 15000 tu kww menyu moja tu ya mchana hotelini,kabaki kunamby eti anaagiza sahani 6 za wali na nyama😂😂😂😂. Je,unaweza kumaliza pesa hiyo kwa kuagiza...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
JINSI YA KUTENGENEZA MAZIWA YA MTINDI/ MAZIWA YA MGANDO (YOUGHURT) Vipimo: Maziwa fresh/maziwa ya maji lita 1 Maziwa mtindi vijiko 6 Maelekezo: Pasha moto maziwa katika sufuria hadi yawe na...
5 Reactions
18 Replies
10K Views
Mara nyingi, nimekuwa nikitia limao katika maziwa ili kuyafanya yagande papo kwa papo. Je, hii haina athari ki afya, au kupunguza virutubisho pengine ndani ya maziwa? Karibu sana kwa mchango na...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Nimekuwa na katabia nikinunua mtindi huwa naweka na sukari ili kupunguza uchachu, je hii ni sahihi au inaweza kusababisha kupoteza virutubisho vya mtindi?
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Why mahindi ya kuchemsha ya mikoani au vijijini au pembezoni mwa jiji Yana ladha tamu kuliko haya ya mjini? Shida iko wapi? Wa mjini wanakosea wapi? Kutumia gesi? Umeme? Au aina Tu za mahindi?
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimekata hizi ndizi kubwa kubwa Sana, hapa kwetu zinaitwa mkono wa tembo, sijawahi kuzila hata siku moja. Naomba wataalamu wabobezi wa Aina mbalimbali ya kuziandaa ndizi hizi kwa ajili ya kula...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Mahitaji Nyama ya Kuku Viazi/mbatata - 3 Kitunguu maji - 1 Kitunguu saumu(thomu/galic) - 5 chembe Pilipili mbichi - 2 Nyanya ya kusaga - 1 kijiko cha chai Pilipili manga ya unga - ½ kijiko cha...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Karibuni I'm enjoying a soup na nimependa share nanyi recipe.Tamu sana. MAHITAJI (kwa mtu mmoja waweza ongeza ku fit idadi ya walaji) Ndizi ama viazi 2,kuku wa kienyeji(nusu),vitunguu maji vitano...
2 Reactions
4 Replies
13K Views
Hiki ni chakula kitokanacho na makopa ya miogo(miogo mikavu). Jinsi ya kupika. Hukatwakatwa vipande vya makopa kisha hulowekwa kwenye maji masaa yasiyopungua 12 ili kurahisisha kuiva kama...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Rejea mada tajwa hapo juu, Naomba kujuzwa namna ya kupika kande mahindi mabichi kwa maharage makavu na kama kuna viungo na vikorombwezo vya kuweka ili yawe na ladha murua. Asanteni Sent using...
1 Reactions
1 Replies
7K Views
Huwa nina shida ya kukinai chakula,so nataka tushee recipes tofauti za mchele! ======= SWEET CHOC RICE Mahitaji: -Mchele kg1 -Karoti tatu -Asali vijiko vitatu -Vanilla ya maji(kijiko kidogo)...
4 Reactions
54 Replies
33K Views
Back
Top Bottom