sagasaga kachili

Mh! it is a first time for me to be a member of Jamii forum, but nataka nimjibu huyu ndugu, nadhani ni msemo wa kihunihuni tu.

By Kimathi
 
Mh! it is a first time for me to be a member of Jamii forum, but nataka nimjibu huyu ndugu, nadhani ni msemo wa kihunihuni tu.

By Kimathi[/QUOTE]

Ni sahihi kwamba ni misemo ya kihuni na pengine ni maneno mapya katika lugha yanayo zuka mitaani (vilugha) lakini yana maana na ndilo lilikuwa swali la muuliza swali (katika uhunihuni huo lina maana gani ?)
 
Mh! it is a first time for me to be a member of Jamii forum, but nataka nimjibu huyu ndugu, nadhani ni msemo wa kihunihuni tu.

By Kimathi

Karinu sana JF bwana Materu.

1. Uzuri wa JF ni majibu maridhawa.Mfano katika hii thread jibu maridhawa kutoka kwako lingekuwa ni kukaa kimya.Kuuchuna na kusoma mnajibu ya wanaojua maana ya sagasaga kachili.
2. Ukifurahishwa na mchango wa mtu nasi una bonyeza hapo chini palipoandikwa thanks. Natumaini mchangi wangu kwako(kama mgeni) umekufurahisha.Haya bonyeza hapo chini..bonyeee.
3.Sijui maana ya sagasaga kachili.Nauchuna.Nasubiri wajuao au natafuta maana kwingine.

Jamni ee,nini maana ya sagasaga kachili?
 
teh teh mzee uko macho na makini kutoa majibu yanayotakiwa katika muda unaotakiwa vilevile,big up mkuu,nabonyeza bonyeeee pale chini kwako
 
Hiyo ni lugha au msemo wa kawaida sana kwenye kiswahili,hasa kwenye michezo ya watoto.katika mtaala wa kiswahili sanifu hasa fasihi simulizi kuna kipengele chenye kujumuisha hiyo michezo ya watoto kama mafunzo ya aina fulani kama yalivyo mafumbo,vitendawaili na hata ngano.
Sasa basi 'kachili saga saga' nikibwagizo katika moja ya michezo hiyo ya watoto.mfano mwimbaji au msheheleshaji wa wimbo huimba au kuanzisha kwa kusema, 'KACHILII......KACHILI...........' na hadhila yake (mara nyingi watoto wenzie katika mchezo huu) huitikia kwa kusema 'SAGA.....' huku wakipekecha viganja vyao,na mwimbaji huendelea na maneno kadha wa kadha mpaka mwisho ambapo watoto hukaa chini na kuendelea na stage(hatua) nyingine ya mchezo huu.

Lakini kutokana na upana na utajiri wa lugha yetu hii adhimu ya kiswahili maana ya mchezo na maneno ya wimbo hutegemea pia aina ya hadhila wakati wa husheheleshaji wa wimbo huo.Mfano,wakati wa kufunda mwali (unyago)wimbo huu unakua na maana nyingine kabisa lakini mara zote hua na mafundisho katika adhila hizo zote.
 
Kachiri kiitikio
Kachiri Kachiri Saga
Mume wangu Kasafiri Saga
Kaniachia ukili Saga
Na kipande cha hariri Saga
Kachiri Saga
Kachiri Saga

DHIMA
Kachiri huchezwa na watoto wawili wa kike waliosimama na kuelekeana. Wakati wanimba wimbo wenyewe huwa wanasaga miguu juu ya ardhi.

Wimbo wa "kachiri" humfundisha mototo wa kike kustahimili shida wakati mumewe anaposafiri
 
Kachiri kiitikio
Kachiri Kachiri Saga
Mume wangu Kasafiri Saga
Kaniachia ukili Saga
Na kipande cha hariri Saga
Kachiri Saga
Kachiri Saga

DHIMA
Kachiri huchezwa na watoto wawili wa kike waliosimama na kuelekeana. Wakati wanimba wimbo wenyewe huwa wanasaga miguu juu ya ardhi.

Wimbo wa “kachiri” humfundisha mototo wa kike kustahimili shida wakati mumewe anaposafiri
 
Aaaaaah, kumbe wote hamjui, mambo ya Tanga haya yanafanywa na watu wazima. Yani ni nyimbo fulani zilizo kwenye taratibu za kimwambao mimi nimezishuhudia kule Tanga.
 
Aaaaaah, kumbe wote hamjui, mambo ya Tanga haya yanafanywa na watu wazima. Yani ni nyimbo fulani zilizo kwenye taratibu za kimwambao mimi nimezishuhudia kule Tanga.
...Tutajie mkuu hiyo ya kitanga, maana yake nyingine ni mapenzi ya kachiri,ni ya wanawake watupu a.k.a. kusagana!
 
Yaap! Ndo maana ya kuwepo hapa! Kuna vitu adimu tunapata, na sidhani kama kuna uhuni katika saga na kachili. Tuwe wasikivu na wajinga ili siku moja tuwe werevu na kuerevusha wengine. Amini hivyo na kiswahili kiwe angani siku zote.
 
nawashukuru sanaa! ukweli nlikua sina majibu na si neno jipya kwangu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom