Naomba ushauri kuhusu neno la Kiingereza "category"

Kipala

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
3,763
699
Wapendwa,
naomba ushauri kuhusu neno la Kiingereza "category". Hii ni nini kwa Kiswahili?
 
mchajikobe, asante kwa swali.
"Category" kwa Kiingereza ni namna ya kupanga maneno, dhana au vitu. Unayapanga kufuatana na tabia fulani kama yanafanana yako pamoja.

Ila tu hadi hapo tungesema haya yote kama "kundi, jamii, aina" na kadhalika.

Tumaini langu ni ya kwamba neno flani limeshakuwa kawaida katika matumizi ya lugha kuhusu neno fulani litumikalo pale ambako Kiingereza kinatumia "category".
 
Nadhani ukitumia "Fungu" unaweza kuwa karibu zaidi lakini vile vile kutumia "kundi' japo kwenye kiingereza bado una maneno mengi zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom