My wife wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

My wife wake

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Darwin, Oct 27, 2009.

 1. D

  Darwin JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mlio Tz naona hili neno mnalitumia sana.
  Nimeliona mara lukuki kwenye blog moja.

  Ninavyojua My= belong to me

  Iweje hili neno sasa linatambulishwa kwenye jamii? Utasaikia mtu akisema Jamaa fulani na my wife wake?
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Habari ndo hiyo!

  Ndo ujue jamii imelikubali sawia neno hilo, na lugha inakua, inatoholewa na kuongezeka kila kukicha, kwahiyo usiogope ndugu Darwin...
   
 3. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Mkuu ushasema hiyo ni kwenye blog kila sehemu kuna lugha yake, hujawahi sikia wewe kwenye mgahawa wanasema chai mbili, mbona hauhoji iwaji iwapo chai inahesabika?
   
 4. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Haya sasa,na wengine wanasema Tigo neno la kiswahili (samahanini ashakum si matusi)
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  ....nao utawajua kwa maneno na kauli zao...!
   
 6. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Wahaya
   
 7. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Ni kweli wala hujakosea.Na hata kule kanisani mapadri huwa wanasema myafuate matendo yangu na si maneno yangu.......................
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180

  Huh.. !...heri mimi sijasema...!
   
 9. Himawari

  Himawari JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 2,189
  Likes Received: 682
  Trophy Points: 280
  Darwin, ungeanza na huyo mwenye blog kwanza.!
  Je wewe ni mwalimu wa lugha (kiswahili) au mzee kifimbo cheza?
   
 10. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Si useme tu umeiona kwa that clown Michuzi?

  Ukishindana na clown wewe utaonekana clown zaidi, mwenzako analipwa kwa u clown wake, wewe unatafuta nini?
   
 11. D

  Darwin JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Sitaki kutaja jina la blog kwani nikifanya nakua natangaza jina lake kwenye JF

  Site nyingine zina sheria hazitaki kutangaza biashara ya mtu mwengine kwenye site zao, au labda pengine ulipie
   
 12. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  ni kama neno la kawaida la kimtaani ...linakubalika
   
 13. D

  Darwin JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Firstlady na my husband!! eeeeuuuuuuw WAKE!!!

  Mwanaume useme my husband halafu ndio mwisho inakuja wake
  Mbona hii lugha inakwenda kinyume
   
 14. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ....Tigooooo!!!mambo hadharani mwanawane!!! Kiswahili kitamu sana!!!
   
 15. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Kila sehemu na lugha yake mkuu
   
 16. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2009
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  My wife wake, Uwanja wa ndege eapoti, barabara ya pugu road, bustani ya mnazimoja garden, etc.Ingawa it doesn't make sense lakini hii lugha anaitumia mdau wa nanihii na libeneke ili kuongeza ladha ya globu yake, hii ni katika kufurahisha audience na wadau wana-relieve some stress.
  We shouldn't try to be kill-joys, saa nyengine wabeba maboksi wanahitaji viburudisho. hata baadhi ya bloggers wa kizungu wana terms zao wanazotumia ambazo ni twisted words of English. the blog world are full of bloggerish words.
  Huyu mkuu wa libeneke kwenye twitter 'anatwiti in propa inglishi ' ingawa sio richaboo!:)
   
 17. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,402
  Likes Received: 685
  Trophy Points: 280
  Aaah my friend wangu mbona hizo ndio zetu,usiogope!!!
   
 18. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #18
  Oct 28, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280


  Nilikuwa sijui kama swahiba anatwiti ngoja nianze kumfuata though kuna wakati huwa anavijimambo vya kuboa.
   
Loading...