Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Wadau naomba maana ya neno Futara kwa kiingereza. Nimeambiwa ni tunda linaloongeza damu
0 Reactions
0 Replies
2K Views
'She sat in the restaurant,waiting anxiously. She was 16 years old,and she was waiting for a boy. His name was Yona. She and Yona had been classmates in primary school,and in pry 3,he'd been her...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Siku hiyo ya jumatano Nimelala zangu kitandani , nasikiliza love and dedication ni kipindi kimoja kinarudhwa na radio moja maarufu jijini dar es salaam , kama kawaid nikawa nasikia watu...
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Confuse=kuchanganya. Hili neno bwana nimekutana na wa2 kadhaa wa afrika na nje (nnje) ya afrika wanalitamka [konfAs] mimi nimezoe kulitamka [konfYUZI] tangu sekondari. Which is which kwa wale...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
By. M. M. Mwanakijiji You walked away from me In anger and accusations Of things you never mentioned left me with tears on my face sobbing and crying like a baby you dumped me You walked to what...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I'll tell you why I hate routine; Wake up in the morning get the kids ready to school Hurry up to beat the traffic Get to work sleepy and cranky! Find an assignment that I was supposed to have...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
BELINDA WA MAISHA YANGU – SIMULIZI YA MAPENZI Pingu za maisha ni kitu cha furaha na cha kutamaniwa na Binadamu yoyote yule.Ni siku ya furaha sana na ina kumbukumbu nyingi sana katika maisha...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
mi ni mmoja wa watu ambao unaweza kuwaita big fans wa mwanakiji kwa upande wa mashairi,tatizo ni kwamba sijui ni wapi naweza kupata collection nzima ya mashairi ya mwanakijiji,kitabu hivi au blog...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimekukumbukeni' si kweli nilikuacheni' yupi kakwambieni.? Usiku na mchana nipo mtaani' enh! Bado naungua tu juani' naye tulokuwa naye sinaye mkononi' majahili waminiweka shakani' mlango wangu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Washikadau kwanza pokeeni salamu na shukrani nyingi kwa kutujuza yale tusiyo fahamu. Kuna hili neno ambalo na shangaa na kuchangyikiwa kila linapotumika. Neno lenyewe ni MAZINGIRA na Mazingara...
0 Reactions
7 Replies
20K Views
kilingeni naingia, ndimi mwana wazuoni utamu wakolea, wajaa mpaka kisogoni halua nimebwia, imeua hamu mtendeni tende nimeikacha, halua tu naitamani Itaendelea...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Chapter one! ____________________________________________________________ _____________________________________ Where am I? I don't recognize this place; an extravagant house in a...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF, Naomba msaada katika matumizi sanifu ya maneno haya, haswa pale inapotokea nimeulizwa na mtu asiyejua Kiswahili. Mfano mtu akiniuliza katika Kiingereza tafsiri ya: 'Milk' in Swahili -...
0 Reactions
19 Replies
15K Views
Ndugu Wanalugha, baada ya kuhamasishwa na mjadala mkali kuhusu uzawa, uasili, uzalendo na uraia nimeamua kubadili jina langu lisilo la Kiafrika ili niwe na jina la Kikwetu. Sasa shida niliyo nayo...
0 Reactions
47 Replies
8K Views
wadau kuna hili neno ambalo linashika umaarufu kwa kasi ''CHANGAMOTO'' licha ya kuwa nalitumia lkn sijapata maana yake, wadau naombeni msaada juu ya maana halisi ya neno hilo
0 Reactions
1 Replies
5K Views
MEZA YA FUTARI Maghrib ilipofika, meza ya kufuturu ikajaa wapambe. SAMBUSA alivyo mzuri, akatongozwa na BW MKATE WA TAMBI. Kina MATOBOSHA wakamzoma "woooo umemkosaaa!! !" "BW.KEBAB...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wakubwa shikamoo, wadogo habari zenu, naomba kufahamishwa tofauti au maana ya maneno haya: wizi = ? ujambazi = ? ujangili = ? ukibaka = ? uharamia = ? udokozi = ? utapeli = ? ...... Tafadhari...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Vipo vingi vya kuiga, vinavyopaswa kuigwa, Hivyo mtu akiiga, hata yeye ataigwa, Ubaya siyo kuiga, ni vile vinavyoigwa, Kuiga tunakoiga, twaiga na vya kijinga? Mashindano ya urembo, tumeiga...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kiswahili ni lugha ya watu gani? Risala enuka hima, sikae 'kataghafali N'na jambo 'takutuma, ubalegheshe suali Nipate jawabu njema...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Swali nawaulizeni, mabingwa wa kiswahili, Wanazuoni jibuni, kwa kina kiso bahili, Hoja zenu zipangeni, kwa vyema ilo ayali, Ndege asiyetulia, huyo anategwa vipi? Ni ndege nimpendaye, kutwa...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Back
Top Bottom