Chuo cha kiswahili-Kozi fupi taaluma, Ukalimani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chuo cha kiswahili-Kozi fupi taaluma, Ukalimani.

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Malyamungu, Jan 26, 2010.

 1. M

  Malyamungu JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2010
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana JF Hbari za hapa nyumbani natumaini wote wazima wa afya.

  Wandugu, nina swali langu kwamba ni chuo gani kinachojulikana kitaifa / kimataifa au nikionyesha cheti cha ukalimani kikubalike huku ughaibuni? Kwa ujumla ninahitaji kozi fupi, pengine UDSM na ni kwa muda gani? Msaada wenu jama

  kinatoa kozi fupi kwa ajili ya ukalimani?
   
Loading...