Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Hivi karibuni nimekuwa nikifuatilia tamthilia mwanana ya India a Love Story kikautana na neno "chai" likitumika sana nikagundua kumbe hata sie waswahili tumetohoa toka kwa wenzetu wa India... Soma...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Jana nimesikia mtu akisema maji ya kumwagilia yamepelea, kuingia kwenye daladala nako mtu anamsimulia mwenzie kuwa alishindwa kununua kitu hela ilipelea. Sasa hapa nawiwa na maneno ya kueleza ni...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Nimekuwa napata shida watu wanaporipoti ajali.....Je ni,Watu wamekufa katika ajali au watu wameuwawa kwenye ajali...msaada samahani...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wataalamu wa lugha naomba mnijulishe kinyume cha neno "Asante" au "Thanks" kwa kingereza. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
17 Replies
55K Views
POWA maana yake nini?
0 Reactions
17 Replies
9K Views
Wakuu Mambo VP Naomba mnidadavulie hayo maneno Asante
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa mara nyingi sasa nimekuwa nikiona watu wanaandika neno hili 'kuonesha'. Wakati mimi nasoma, na nimekuwa nikiandika pia kwa muda mrefu kwa lugha ya Kiswahili, nimekuwa nikitumia ' kuonyesha'...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wavua Magamba mpo?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nitawaletea baadae imegoma kuattach...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wakuu naomba kuulza tofaut ya maneno hayo mawili maana yananichenginyi sana. Je,ni sahihi kusema "nimemtuma mtoto aniletee soda" au " nimemuagiza mtoto aniletee soda" ? Shukran za dhat wakuu...!!!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nipo moshi na ninafanya kazi kwenye kampuni binafsi.Sasa natafuta watu watakaopenda kujifunza Kuzungumza,kuandika na kusoma lugha ya kiitaliano au kihispania.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekutana na hili neno kufiliwa katika gazeti moja la Kiswahili. Sasa nini neno sahihi, mtu kafiwa au mtu kafiliwa?
0 Reactions
6 Replies
12K Views
1. Dola moja ya Marekani inauzwa kwa thamani ya Shillingi 1500 za Tanzania. 2. Dola moja ya Marekani inauzwa kwa thamani ya Shillingi 1500 ya Tanzania. Naombeni msaada wanajamvi kipi ni kiswahili...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
karibia redio zote zinazo tangaza kwa lugha ya kiswahili zipo kenya,hii inamaanisha nini juu ya hii lugha yetu ya kiswahili? sasa hata wachina wanaredio yao ya kiswahili ipo kenya,je lugha hii ya...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
MWISHONI mwa wiki Waziri wa Elimu wa Zanzibar Ramadhan Abdullah Shaaban alikuwa mgeni rasmi katika shughuli ambayo imepewa jina la Siku ya Kiswahili ambayo kwa hakika ilifana sana. Hii...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wadau naomba mwenye kufahamu centre nzuri ya cpa review ambayo iko mwanza anitajie hapa jamii forum naomba anitajie na location yake thanks naomba
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ninaisikia huu mkorogo mara nyingi sana (almost mara moja kila wiki) kupitia vyombo vote vya habari kasoro magazeti. Mfano; Timu A imegawana pointi na timu B baada ya kutoka suruhu ya bao 2 kwa...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Wan JF naomba wataalam wa lugha wanisaidie kama ni kutoa tuzo au tunzo kwa mtu anapopongezwa kwa kufanya vizuri. Pia je daktari alinatibu au anatibia ugonjwa. Ninaogopa hata kuendelea na sentensi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
"Kimbakwiri" ni neno la Kiswahili lenye maana ya mtu anayetumia nafasi,cheo au elimu yake kupata mali kwa njia isiyo halali.Mfano wewe ni mwanasheria wa serekali unasaini mkataba kwa niaba ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nisaidieni maana kuna mgeni mmoja kanipiga swali nikakwama. Tofauti ya "huzunika" na "sikitika"
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom