Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Hivi tunaposema kwa mfano: Nimekula WALI KWA KUKU au WALI NA KUKU, huwa tupo sahihi??? Wataalamu wa lugha tafadhali...
0 Reactions
30 Replies
9K Views
Malenga nawasalimu, Kwa jina lake Rabuka Nimeona nijihimu, japokua kushakucha Kwa hili jambo adimu,linalotusuka suka Kikombe, kikombe gani, Malenga nielezeni Kikombe, kikombe gani, atoacho...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Huwa najiuliza mara nyingi kuwa ki au vi hutumika kwa vitu kama sikosei maana mimi si mtaalamu wa lugha, lakini linakuja swali langu kwanini walemavu wanatumiwa na maneno kama wao ni vitu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Baraza la kiswahili lilitumi vigezo vipi kuita majina yafuatayo kama ifuatavyo: mnyama mbwa badala ya kuita m'mbwa. Mbu badala ya kuita m'mbu. Nge badala ya kuita n'nge. Vilevile hata neno nje...
0 Reactions
22 Replies
8K Views
mara nyingi kwenye vipindi vya redio au tv mwishoni mtangazaji anamaliza kwa kusema 'tukutane tena kwa kipindi kingine siku na muda kama huu''. je, hii ni sahihi kweli maana muda huo ndio kipindi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
mi ni mmoja wa watu ambao unaweza kuwaita big fans wa mwanakiji kwa upande wa mashairi,tatizo ni kwamba sijui ni wapi naweza kupata collection nzima ya mashairi ya mwanakijiji,kitabu hivi au blog...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimekuwa napata shida sana kuzielewa taarifa au michango toka katika magazeti mbalimbali hapa Tanzania na hata pia humu ndani ya JF. Baadhi ya makala ili uzielewe inatakiwa ujitahidi mwenyewe...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Natatizwa saana na tofauti ya maneno haya BURUDANI NA MICHEZO na jee michezo si burudani??
0 Reactions
2 Replies
2K Views
And there was Kenyan Swahili, there are some words which will always confuse me and maybe funny while at it:-  Nasikitika- Nasitikika  Kukanganyana- Kukanyangana  Mimba-...
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Habari zenu wakuu? Leo nimekuja na hili ninashida ya kutofautisha maneno haya BAINISHA na AINISHA. Mfano: Bainisha na ainisha maneno yafuatayo 1. Anakikimbia 2.Anakula Naombeni msaada wenu jamani.
0 Reactions
8 Replies
49K Views
Nakuja kijana wenu,nipokeeni jamani
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi unapomuita mtu aliye ndani unamwambia toka nje au toka ndani?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Siku hizi nasikia hili neno masharobaro ...hivi maana yake nini
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Maana ya innovation
0 Reactions
4 Replies
4K Views
  • Closed
And Arabic is the language of Islamic doctrines. And am not a muslim, neither i will be. i will chose death between death, living and being islamised. what do you think ma pipo?
0 Reactions
43 Replies
8K Views
Nimekuwa nikisikia msemo hili mara nyingi lately. What does it mean?
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Napendekeza masomo yote yanayofundishwa katika mashule na vyuo vyote Tanzania yafundishwe kwa lugha ya taifa ili kuongeza idadi ya wanaofaulu na uelewa juu ya wanachojifunza. Kusoma kwa kiswahili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu tangu nakua nimekuwa niksikia watu wengi wanapozungumza kiswahili hupenda kuweka neno "ga" mwisho wa neno..mfano Alikwenda wao husema "Alikwendaga" sasa hapo nimekuwa nikijiuliza...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Northern Highland High School : Mwombaji awe na Principle Moja na Subsajari Moja! = = Hilo ni tangazo la Shule kwa wahitimu wa kidato cha nne kujiunga na hiyo shule... Mtangazaji anavyotamka...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Jamaa zangu watanga wakifika Dar wanasema kiswahili cha Dar kinatia aibu. Uzuri wanasema uzuli Msafiri wanasema msafili Roho wanasema loho Safari wanasema safali Hivi skuli za Dar alphabet zao...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom