POWA maana yake nini?

Na nyie watu mbona mnataka kufanya maneno yanayoeleweka kuwa magumu?
Poa ni hali ya kuelezea mambo yako au jinsi unavyojihisi kuwa mzima na kufanikiwa!
 
people opposing women abuse
pennslyvania outdoor writers association
Na kwa kuongezea:
Protect Our Water Alliance (POWA)
Procule's Own Webcam Application (POWA)
Paradigm Online Writing Assistant (POWA)
Police Officer's Wives Association (POWA)
Prince of Wales Award (POWA)
Program for Older Worker Adjustment (POWA)
Protect Our Wild Animals (POWA)
Plain Old Web Application (POWA)
Professional Organization for Women in Antigua (POWA)
Protect Our Watershed Alliance (POWA)
Planar Optical Waveguide Amplifiers (POWA)
Pakistan Olympic Writers Association (POWA)
Protect Our Water Alliance (POWA)
Program for Older Workers Adjustment (POWA)
Parallel Optimization With Aerodynamics (POWA)
 
POWA maana yake nini?
Ni kitendo cha hali ya joto kutokuwa joto, lakini si baridi (Neither warm nor very cold; giving relief from heat).

Vile vile neno Poa na si Powa, utumika kwenye kuitikia salamu au kuuliza hali ya mtu kiujumla, i.e Mambo vipi au vipi mambo... na jibu lake ni Poa au Mambo poa. (Ukimaanisha kuwa hali ni nzuri kiujumla).
 
POWA maana yake nini?
Nafikiri msemo huu umetokana na jua kali la bongo. Kwa hiyo kusema "poa" ni sawa na kumaanisha mambo ni shwari kama upepo wa pwani. Kuna wakati watu walileta msemo "bongo jua kali" wakimaanisha things are really rough n tough.
 
Na kwa kuongezea:
Protect Our Water Alliance (POWA)
Procule's Own Webcam Application (POWA)
Paradigm Online Writing Assistant (POWA)
Police Officer's Wives Association (POWA)

Prince of Wales Award (POWA)
Program for Older Worker Adjustment (POWA)
Protect Our Wild Animals (POWA)
Plain Old Web Application (POWA)
Professional Organization for Women in Antigua (POWA)
Protect Our Watershed Alliance (POWA)
Planar Optical Waveguide Amplifiers (POWA)
Pakistan Olympic Writers Association (POWA)
Protect Our Water Alliance (POWA)
Program for Older Workers Adjustment (POWA)
Parallel Optimization With Aerodynamics (POWA)

jamani mbona mnachanganya mambo??
swali ni POWA MAANA YAKE NINI???????
naona watu wanaleta kirefu cha neno hili
naamini shida si kujua kirefu cha herufi bali
inatakiwa maana ya neno!
 
maana yake na safi,nzuri, ndio, kiitikio cha kukubali ambacho kimezoeleka tu tena ni lugha ya mtaani maana hata mtu akiwa matatizoni ukimuuliza mambo vipi atibu tena bila kutafakari POWA
 
wanaume wanajibu poa.wanawake wanajibu powa or pouwa.yote yana mana ya safi.lakini 'pouwa' ni ishala furani ya madem..
 
people opposing women abuse
pennslyvania outdoor writers association

http://www.paoutdoorwriters.com/

Na kwa kuongezea:
Protect Our Water Alliance (POWA)
Procule's Own Webcam Application (POWA)
Paradigm Online Writing Assistant (POWA)
Police Officer's Wives Association (POWA)
Prince of Wales Award (POWA)
Program for Older Worker Adjustment (POWA)
Protect Our Wild Animals (POWA)
Plain Old Web Application (POWA)
Professional Organization for Women in Antigua (POWA)
Protect Our Watershed Alliance (POWA)
Planar Optical Waveguide Amplifiers (POWA)
Pakistan Olympic Writers Association (POWA)
Protect Our Water Alliance (POWA)
Program for Older Workers Adjustment (POWA)
Parallel Optimization With Aerodynamics (POWA)

Dah!!!!!
 
Poa ni neno mbadala linalosimama kuwakilisha neno Cul (cool) la kiingereza.
Ni moja ya sehemu ya salamu ambayo hadhira/msikilizaji huitumia kukwepa kutumia maneno marefu kuelezea hali yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom