Siyo mikoani, ni mikoa mingine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siyo mikoani, ni mikoa mingine

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by JAPHET MAKUNGU, Mar 4, 2011.

 1. JAPHET MAKUNGU

  JAPHET MAKUNGU Member

  #1
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Watu wengi hurejea mikoa mingine ya Tanzania kama "mikoani", mathalani, mabasi yaendayo mikoani. Nadhani hii siyo lugha sahihi kwa sababu ina maanisha Dar es salaam ni Taifani. Unaposema mikoani kwani Dar es salaam siyo mkoa? Sema mikoa mingine inaleta maana nzuri zaidi.
   
 2. S

  Senior Bachelor Member

  #2
  Apr 18, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wanakosea kusema mikoani wakimaanisha mikoa mingine. nakubaliana na wewe. Nadhani dhana ya kuibuka kwa msemo huo ni kutofautisha dar es salaam na huko bara (bahati mbaya dar nayo naiona kama bara tu-kwani wazanzibari ndivyo wanavyoichukulia). Na hata tungesema dar sio bara, basi tanga na mtwara nazo zisingekuwa bara. Na kama dar sio bara je ni wapi?-kisiwani? bila shaka sio. Nadhani "mikoani" wanamaanisha "upcountry" kwa kiingereza. Japo neno mikoani bado sio tafsiri sahihi-kwa maoni yangu.

   
Loading...