Ras Muttabaruka v/s Mrisho Mpoto

Swahilian

JF-Expert Member
Apr 28, 2009
591
66
Allan Hope a.k.a Ras Mutabaruka(jam) Mrisho Mpoto a.k.a Mjomba. Kwa kifupi hawa jamaa ni waghani na watambaji wa mashairi ya kimafunzo. Japo sina hakika kama wote ni Rastafarians kiimani, nina hakika juu ya Allan lakini sifahamu Mrisho. Pia wanafanana kwa mengi hawa watu, nafkiri yapo mambo ya kuiga,kujifunza na kujadili na pengine kujua au kuwafahamu zaidi. Peace n' love.
 
Msikilize Mutabaruka katika "People's Court" halafu msikilize Mpoto katika "Mjomba".

Utaona washaiiri wametulia.

Cheki hiyo live Def Poetry Jam link ya tatu

People's Court 1

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=UMxObXP3D2M[/ame]

People's Court 2

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=EqFYbE1ZtFQ[/ame]

Muta at Def Poetry Jam (Dis Poem)

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=Pn-f8PgLVjU&feature=PlayList&p=D80D78F86606307C&index=0&playnext=1[/ame]
 
Mpoto feat Banana Nikipata Nauli

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=aiuEmI2i2rw[/ame]

Historia yake fupi

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=3e8_o5wt9M0[/ame]
 
Acheni utani Mutabaruka yuko juu sana kimataifa, Mpoto havuki hata Zanzibar umaarufu wake labda kwa kuwa bado anakuwa!
 
Acheni utani Mutabaruka yuko juu sana kimataifa, Mpoto havuki hata Zanzibar umaarufu wake labda kwa kuwa bado anakuwa!

kazi nzuri haijarishi kama inavuka mipaka au la,zaidi kwamba kazi hiyo au fasihi hiyo inawasaidia jamii yako kwanza?alfu ndio tunavuka mipaka
 
Nilianza kumsoma vizuri Muttabaruka na falsafa zake ktk vhs za reggae sunsplash 1982, alipanda kushusha lines mara baada ya Lucky Dube au Gregory Isaacs kushuka.
Nazikumbuka nyimbo na wasanii waliotia fora ktk tamasha hilo.
Dennis Brown
Shinehead: smile
Cocoa Tea: Likers island.
Barrington Levy: Too experienced.
Lucky Dube: Back to my roots.
Max Priest n'Shabba ranks: House call.
And many more.
''Uniting People through Music''
 
Dis poem shall speak of truth..
Truth not untold...
Dis poem is on ur player books, on readers digest, kgb and c.i.a files.
Shall speak of Mau mau, yoruba..etc
dis poem shall continue...
Ringer in ur mind...in ur mind..mind..mind..
 
Msikilize Mutabaruka katika "People's Court" halafu msikilize Mpoto katika "Mjomba".

Utaona washaiiri wametulia.

Cheki hiyo live Def Poetry Jam link ya tatu

People's Court 1

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=UMxObXP3D2M[/ame]

People's Court 2

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=EqFYbE1ZtFQ[/ame]

Muta at Def Poetry Jam (Dis Poem)

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=Pn-f8PgLVjU&feature=PlayList&p=D80D78F86606307C&index=0&playnext=1[/ame]

N ashukuru nimefuatilia na kufanikisha kufungua hizi video 2 ya kwanza imekataa. LKN nijuze zaidi, hawa wote ni wa TZ? Maana MutaBaruka anakunywa sleng ka mtu wa USA vile.
 
N ashukuru nimefuatilia na kufanikisha kufungua hizi video 2 ya kwanza imekataa. LKN nijuze zaidi, hawa wote ni wa TZ? Maana MutaBaruka anakunywa sleng ka mtu wa USA vile.

Hapana Mutta si mbongo ye ni Mjamrock (Jamaican) na hasa kikubwa tulikua tunajaribu kuwafananisha japo wapo ktk nchi na viwango tofauti.
Hapo watu husema Mpoto anafanana na Muta na sio Mutta ana...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom