Kiswahili hiki kimekaaje??

Radio Producer

JF-Expert Member
Feb 4, 2011
724
295
1. Dola moja ya Marekani inauzwa kwa thamani ya Shillingi 1500 za Tanzania.
2. Dola moja ya Marekani inauzwa kwa thamani ya Shillingi 1500 ya Tanzania.

Naombeni msaada wanajamvi kipi ni kiswahili cha ukweli kati ya hizo sentensi mbili??

Asante.
Nawasilisha
 
1. Dola moja ya Marekani inauzwa kwa thamani ya Shillingi 1500 za Tanzania.

Hii ndo sahihi! Mara nyingi kwenye wingi tunatumia ZA!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom