Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Wapendwa, Topic hii si ya Kisiasa bali ni Lugha, Hivyo naomba mawazo na michango yenu iishie hapo tu kama itawezekana. Kwa kipindi kirefu sana nimekuwa nikimsikia Rais akinukuliwa au nikimsikia...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
mara nyingi utawasikia watu wakisema"nimezaliwa sehemu fulani" Kwa nini wasiseme"nimezawa sehemu fulani?" Kwa maana: Zaa-mzizi Zawa-tendwa Zaliwa-tendewa Hivyo kusema zaliwa,ina maana kuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Malenga wetu Hodi hapa ukumbini, jamani naoma mnijuzze maana ya maneno Credit, debit na commulative ballance kwa kiswahili, natafsiri cash book, doooooo salale!!!! msaada tafadhali asanteni sana
0 Reactions
1 Replies
36K Views
Nimekuwa nikisikia siku hizi, kutoka kwa vijana, hasa wakina dada, kuwa utamkaji (lafudhi), (intonation) ya Kiswahili wao ni tofauti na wakati uliopita. Nikisikiliza Kiswahili, hasa kutoka kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa kuhusu neno sahihi na fasaha la "TENDO LA NDOA" ni lipi??
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Wana jf naomaba tofauti ya maneno tuzo na tunzo, au yana maana moja?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nataka kuanzisha thread came ile kuhusu maneno za kiswahili zinazohusu technolojia (=> https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-lugha/128274-technolojia-na-kiswahili.html ) , lakini sasa unatakiwa...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
wengine wanasema ni zile za majani tu yaani vegetables ndizo zinazopaswa kuitwa MBOGA, wengine wanasema makundi yote ya vitoweo kama nyama, mbegu, mizizi, wadudu (kama kule buhaya), matunda...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
tunakawaida kuwaita wakuu wetu wa kazi maofisini boss aidha katika kumwita au kusalimiana nae, je tutumie neno gani fasaha la kiswahili badala ya neno boss?
0 Reactions
16 Replies
9K Views
Malenga wetu Hodi hapa ukumbini, jamani naoma mnijuzze maana ya maneno Credit, debit na commulative ballance kwa kiswahili, natafsiri cash book, doooooo salale!!!! msaada tafadhali asanteni sana
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Nini maana ya masamiati huu "kudadeki"?
0 Reactions
11 Replies
10K Views
Jogoo lina mafamba, linatamba kiamboni, Kwa kiburi lajigamba, hadi kiambojirani, Hili jogoo la shamba, sasa lawika mjini, Kitendawili na tega, mteguzi ategue. Mbawa linavyozipiga, wengine...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Imenishangaza kutumika kwa Tanzania maneno kama kuandikwa na kufutwa kazi pia hali ya sintofahamu. Sasa najiuliza yale maneno yetu ya kuajiriwa au kupata kazi na kufukuzwa kazi ni yepi hasa ndio...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
jamani specification kwa kiswahili ni nini?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Hayo maneno nimekuwa nikikutana nayo kila siku ningependa kujua maana yake. Tusaidiane hii lugha yetu wote.
0 Reactions
13 Replies
25K Views
I will appreciate anyone who will help me putting the following words or statements in Swahili: Motto, Mission statement, and vision statement.
0 Reactions
10 Replies
29K Views
HAYA NI MANENO MOJAWAPO KATIKA WIMBO WA MRISHO MPOTO !MENGINE ANASEMA....... BABA KAJA NA SWALI ...MAMA KANIPA JIBU ILI NIULIZE SWALI! WIMBO HUU UNA MAFUMBO MAGUMU HEBU JF GTs' nichambulieni wimbo...
0 Reactions
3 Replies
48K Views
There is a misconception that Swahili borrowed some of the terms or words from other foreign language.the truth is those foreign languages actually borrowed from us. One thing for sure, 100%...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Mimi napata shida na neno Chuo Kikuu, Sijui kama ndiyo tafasiri sahihi ya neno University, neno University limetokana na Univesal likibeba maana ya kitu kinachotambulika ulimwenguni kote. Sasa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom