Nenda sambamba na Masharobaro ...Slangs | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nenda sambamba na Masharobaro ...Slangs

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Easymutant, Apr 8, 2011.

 1. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,504
  Likes Received: 477
  Trophy Points: 180
  Nitawaletea baadae imegoma kuattach...
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,704
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  mbona kuna nying apa si za kisharobaro?
  ni lugha tu za kimtaan za kawaida nyng ni za kisela zaid lakin si za ao wapaka poda...yaan kuna kiswahil cha kihun na kiswahili cha masharobaro/mabrazamen ao ambao wanaenda ulaya kwa kupitia tv..AKIONA MTU KASEMA DAMME KWENYE MOVIE BAS KESHO ANAYO ..ata mamake mzaz akimwita we john njo kula chakula tayar anajibu ... damme't....wanavaa km wapo majuuu,na swaga nyngne za majuuu...yes maan...yees bebb.....yees i wan popcon....:love:
   
 3. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,870
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  Asante Rose kwa kuteleza huyu Sharobaro ni mtu gani maana kwa sisi tuliopitwa na mitaa tulikuwa hatuelewi.
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 34,419
  Likes Received: 11,270
  Trophy Points: 280
  rose kwa jinsi ulivyonichekesha kungekuwa na thanks hata kumi ningekugongea zote
  hivi hkuna masharobaro wa kike?
   
 5. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 4,815
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  sikiliza clouds fm weekdays kuanzia saa 8 mchana.
   
 6. Y

  Yusuph Salehe Member

  #6
  Apr 10, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wa kike wanaitwa masherabera yaan hawa ndio balaa utakuta eti wanajifanya hawamaliz kinywaji halaf wakifika makwao wanajutia bora wasingebakisha kund hili wapo wengi hadi wengine hawajui kama wao ni masherabera. Je wewe haupo hapa??
   
Loading...