Huwa sielewi maana ya haya maneno

Huwa sielewi maana ya haya maneno

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,494
Reaction score
29,283
Wakuu poleni na kazi!!
Ni hivi hua sielewi maana ya haya maneno!!
Lalamiko!!
Dukuduku!!
Hoja!!
Na maoni!!
Kwa sababu kuna sehemu labda unaweza ukawa unachangia mada!!wale wasimamizi wakakupinga wakasema hayo sio maoni ni dukuduku!!au lalamiko!!sasa hapo nashindwa kuelewa ni tofauti ya haya maneno!!
 
Back
Top Bottom