Huu usemo "huyu jamaa amebana sana" sijui mwanzilishi ni nani!!

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,733
26,869
Wakuu pokeni na kazi ndo weak and imeanza hivyo!!
Wakuu huku kitaa kuna kijimsemo kimeanzishwa hata sijui mwanzilishi nani!! Yaani kitu kidogo mtu analalamika anasema "huyu jamaa amebana sana" yaani ukikutana na mdai wako anaanza kukuambia bwana subiri kidogo huyu jamaa kabana sana!! Sasa mi najiuliza huyo jamaa alobana kabana nini sasa mpaka mtu anashindwa kunipa hela yangu!! Yaani hii kauli (huyu jamaa kabana sana ) inaninyima raha sana maana kila mtu anasema hivyo !!! Sada huyo jama ni nani na anahusika nini na deni langu!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom