Dili mpya – Utumishi wa umma wa kimataifa

Dili mpya – Utumishi wa umma wa kimataifa

Paragons

Member
Joined
May 3, 2016
Posts
60
Reaction score
47
Kifaransa kimekuwa na mvuto wa pekee kwenye utumishi wa umma wa kimataifa, bahati mbaya watanzania tumebaki nyuma sana, sababu ya kutokuchangamkia lugha nyingi kama wenzetu wa nchi jirani.

Nawaomba muniunge mkono, tutengeneze French Forum ambayo sio ya wale wa “Bonjour” na “Merci”. Ile nguvu ya mkono wa kulia, inayofungua mlango wa nje na kuanza safari za kimataifa.

Wanaoelewa zaidi ya hiki ninachozungumza, nawaomba nikiwaita musiniangushe...
 
Back
Top Bottom