lup
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 2,514
- 2,732
za kazi jamani, kuna hili neno ambalo watu wengi tunatumia kama tafsida ya maana kuingiliwa kinyume na maaumbile. TIGO.au 0713.. nafahamu tangu mwanzo kuwa kuna mtandao wa simu ambao asili yake ilitoka kuanzia mobitel hadi tigo.
lakini kwa sasa neno tigo linatumika kwa maana nyigine na linazidi kuwa maarufu sana na huku tendo hilo lilishaanza kabla hata ya simu kuja Tanzania. sasa nauliza kwa wanao fahamu kwa nini waliamua kutumia jina la mtandao na kabla ya mtandao kulikuwa na neno gani?