Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Habari wadau wa elimu! Mimi ni mwalimu ambaye ninafundisha lugha hii muhimu ya biashara,utawala na diplomasia ktk mojawapo ya shule ya sekondari nchini. Kwanini nimekuja na bandiko hili, ukweli...
21 Reactions
205 Replies
27K Views
Wanajf nawaomba mnisaidie nahitaji ufafanuzi nielewe maana ya maneno yafuatayo: Mfano mtangazaji wa TV au radio, au gazeti anasema Mbowe amekamatwa na madawa ya kulevya: 1.Misokoto 500 2.Kete 500...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu na wataalamu wa kiswahili naomba mnidadavulie maana ya neno hilo. Nimemsikia mkuu wa nchi akilitumia mara nyingi katka hotuba zake*yeye ni raisi wa Watanzania wanyonge* WANYONGE NI WATU WA...
1 Reactions
2 Replies
6K Views
I love you my gentle one, my love is the fresh milk in the rubindi which you drank in the wedding day My love is butter we were smeared with To feel fidelity into our hearts You are the...
1 Reactions
10 Replies
15K Views
An answer plz
2 Reactions
97 Replies
12K Views
Natafuta wafasiri wanaoweza kufasiri lugha hizi kwenda katika Kiingereza: Bangala, Kizigula na Mai Mai. Walio na uwezo huo tafadhali waje inbox. Asanteni.
0 Reactions
0 Replies
796 Views
Leo ni siku ya Lugha Mama duniani ( Mother tongue) JE kwa kilugha chenu MAMA mnaitaje?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
1. Michelle Bachelet 2. Yaa Asantewaa 3...
1 Reactions
160 Replies
20K Views
Nikisoma baadhi ya maandishi katika jengo hili ninaona tunachanganya Kiswahili na Kiingereza. Bila ya nia ya kukebehi bali kwa heshima zote, naomba tujadili ni zipi katika sababu hizi...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Nimejaribu kutafuta Uzi humu ndani unaoweza kunipa picha kwa ufasaha tofauti ya MAONO na MITAZAMO au kama mnaweza nisaidia kitaalamu kabisa hapa hapa nitajifunza kitu..... The Charmie
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kumekuwa Na mijadala mudamrefu kuwa Ni lugha gani sahihi kutumika kufundishia, inaonekana lugha hizi zinatoa ujumbe/maana tofauti juu ya suala moja. Je?, Kama tunapata maudhui tofauti kwenye suala...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Karibuni wadau tufunzane jinsi ya kuyatamka maneno ya kiingereza. Mfano maneno haya hapa. 1.Bouquet 2.Crisps 3.Awe 4.Ewe 5.Physique 6.Gadget 7.Pneumonia 8.Croissant 9.Pneumatic 10.Judt 11.Queue...
1 Reactions
16 Replies
9K Views
Kuna tofauti gani kati mubashara na mubashira?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Fonolojia ni sayansi.Jadili
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MWANZO WA NGOMA 1)Kweli hii ngoma ngumu,kuipiga na kucheza. Kama unakunywa sumu,chunga watakulegeza. Ipige hadi idumu,ukiacha watubeza. Huu ndo mwanzo wa ngoma,ama kiki watafuta ? 2)wengi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WETU MGAMBO. 1)Siwezi mi kuamini,kama ni wao wenyewe. Imetoka ofisini,wale waje watendewe. Ahadi zi mazishini,laona jicho la mwewe. Hawa ndo wetu mgambo,na ndo kazi waliotumwa. 2)Wayatenda ya...
0 Reactions
0 Replies
740 Views
Naomba wataalamu wa Lugha mnisaidiea kuhusu suala hili. Mimi nasikitishwa sana kuona vyombo vya Habari vya kielektoniki vikiita majina ya kiingereza baadhi ya Vipindi vyao wakati vipindi hivyo...
1 Reactions
8 Replies
6K Views
Naombeni kujua maana ya neno hili " rijali"
0 Reactions
11 Replies
18K Views
Nahitaji kudownload app ya dictionary english-Swahili ipi ni nzuri jamani? Au anaeifahamu ashare na mimi kwa link basi. Nitashukuru
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Jana nilikuwa naangalia Kipindi cha malumbano ya hoja kinachorushwa na kituo kimoja maarufu cha TV nchini ambacho kwa sasa kinajiita Super Brand Afrika ya Mashariki na kati.Katika malumbano yale...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Back
Top Bottom