English vs Kiswahili

nyumbatatu

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
1,076
939
Kumekuwa Na mijadala mudamrefu kuwa Ni lugha gani sahihi kutumika kufundishia, inaonekana lugha hizi zinatoa ujumbe/maana tofauti juu ya suala moja. Je?, Kama tunapata maudhui tofauti kwenye suala moja Kama pichani chini, Ni lugha ipi tuitumie?.
IMG-20170218-WA0001.jpg
 
Labda kuna mizunguko miwili, mzunguko wa wazungu uko mita 100 na ule wa waswahili uko mita 300 !! Au aliyeandika na hao watu wa TAN ROAD wote vilaza.
 
Kingereza kina wenyewe na kiswahili wenyewe na wenyewe ni wakenya labda wangeandika kinyamwezi
 
Back
Top Bottom