App gani ya dictionary/kamusi ni nzuri?

Babarazack

Senior Member
Sep 9, 2015
132
156
Nahitaji kudownload app ya dictionary english-Swahili ipi ni nzuri jamani? Au anaeifahamu ashare na mimi kwa link basi.

Nitashukuru
 
Wordweb ndiyo mwisho wa matatizo halafu ni offline*
Lakini hiyo ni English to English
 
Back
Top Bottom