Fonolojia

Hapo ki ufupi ni sayansi kwasababu inatumia organs kama vocal code, labio kama b, p, dental thi lungs, nasal kama m, n. Labio dental f, v etc
 
Fonolojia au Sarufi Matamshi ni
tawi la sayansi ya isimu. Inashughulikia
uchunguzi wa mfumo wa sauti katika lugha
fulani, kwa mfano ugawanyaji wa irabu na
konsonanti .
 
Back
Top Bottom