Maneno haya ya kiingereza yanatamkwaje?

Maneno haya ya kiingereza yanatamkwaje?

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
1,193
Reaction score
828
Karibuni wadau tufunzane jinsi ya kuyatamka maneno ya kiingereza.
Mfano maneno haya hapa.
1.Bouquet
2.Crisps
3.Awe
4.Ewe
5.Physique
6.Gadget
7.Pneumonia
8.Croissant
9.Pneumatic
10.Judt
11.Queue
12.Isle
13.Sachet
14.Listen
15.Thristles

Karibuni sana tufunzane matamshi katika lugha ya malkia karibuni sana.
JamiiForumers!
 
Mkuu, jaribu kutafuta kamusi ya kiingereza ya Oxford na humo kuna maandishi ya kutamka maneno haya.

Herufi zake ni tofauti kama tukitaka kuziandika hapa maana ni za kialama zaidi ya herufi.

Kwa mfano katika muundo wa maneno au "word formation" maneno kama Bouquest linatamkwa kwa kutumia alama za [bʊˈkeɪ au bəʊˈkeɪ] lakini waweza sema bukei ambalo ni neno lisoleta maana kwa mtu mwingine asiyeelewa kiingereza.

Au neno lingine kama Ewe linatamkwa [ˈeɪweɪ] lakini siyo Ewe kama lugha ya kabila la watu wa Kwa waliopo Ghana na Togo ambao wanazungumza lugha hiyo ya Ewe.

Hivyo kuepusha uwezekano mkubwa wa lugha gongana, ni muhimu kutumia kamusi ya kiingereza ya Oxford ambayo inayo matamko yote ya maneno uloyaweka hapa.

Kamusi ya kiingereza ya Oxford inapatikana katika link ifuatayo na hii sehemu ya kujifunza lugha hii ya Malkia.

English Learners | Oxford Dictionaries
 
1.Bouquet - bʊˈkeɪ, bəʊˈkeɪ
2.Crisps - krɪsp
3.Awe- ɔ hili latamkwa kama vile wasema oo
4.Ewe- ˈeɪweɪ
5.Physique- fɪˈziːk
6.Gadget - găj′ĭt
7.Pneumonia - njuːˈməʊnɪə - herufi za Pneu zote zinatamkwa kwa neno la nju yaani na herufi ya ə inatamkwa o

Upo hapo?
 
Karibuni wadau tufunzane jinsi ya kuyatamka maneno ya kiingereza.
Mfano maneno haya hapa.
1.Bouquet
2.Crisps
3.Awe
4.Ewe
5.Physique
6.Gadget
7.Pneumonia
8.Croissant
9.Pneumatic
10.Judt
11.Queue
12.Isle
13.Sachet
14.Listen
15.Thristles

Karibuni sana tufunzane matamshi katika lugha ya malkia karibuni sana.
JamiiForumers!

Umewahi kujifunza au kusikia silent vowels sijui kwenye maneno? Itakupa clue kwa nini knife inatamkwa naif na sio 'knife' na ina rhyme na wife etc.
 
Kwa msaada zaidi fuatilia kipindi cha Mind Your Language kupitia kituo cha TV cha Kenya cha KTN Kenya ambacho pia clip kibao zipo za kipindi hicho kipo YouTube:

source: ktn news kenya
 
8.Croissant - krəˈsɒnt
9.Pneumatic - njuːˈmatɪk
10.Judt -dʒ ʌ t
11.Queue - hili rahisi kju
12.Isle - ʌɪl

13.Sachet - s æ ʃ eɪ na hutaji herufi t

14.Listen - ˈlɪs(ə)n hapa kuna vitu vyaitwa "rising tone" na "falling tone" yaani neno lɪs unalitamka ukipandisha sauti lakini ukifika kwenye herufi (ə) unashusha sauti kuelekea herufi n

15.Thristles- hili neno unamaanisha Thistles?

Ila nafikiri tumejifunza kitu katika masuala ya muundo wa maneno "word formation" na "Phonology".
 
Mambo ya kug'atishana ulimi nawaachia watu wa Lugha,mi ntatamka vyovyote ntakavyoona inafaa.
 
Mambo ya kug'atishana ulimi nawaachia watu wa Lugha,mi ntatamka vyovyote ntakavyoona inafaa.

Ni kweli mkuu maana hapo lazima ufahamu namna ya kutoa sauti kutamka neno bila kuathiri sauti hiyo yaani vowel za a e i o u na sauti ya consonant ambayo pia inakuwa haitamki herufi kama p, b, t, d, k, na g, pia kugeuza matamko ya herufi m, n na ng na pia bila kuzuia herufi f,v,s na z na kadhalika.

Hivyo kuna mambo kama vowel sounds na consonant sounds kwanza kabla ya kuendelea kutema cheche za ung'eng'e.
 
Karibuni wadau tufunzane jinsi ya kuyatamka maneno ya kiingereza.
Mfano maneno haya hapa.
1.Bouquet
2.Crisps
3.Awe
4.Ewe
5.Physique
6.Gadget
7.Pneumonia
8.Croissant
9.Pneumatic
10.Judt
11.Queue
12.Isle
13.Sachet
14.Listen
15.Thristles

Karibuni sana tufunzane matamshi katika lugha ya malkia karibuni sana.
JamiiForumers!
Mbona kama sijakuelewa!

Utawezaje kumfundisha mtu kutamka maneno kabla ya kumfundisha phonology (phonetic symbols, diacritics marks and phonetic & phonemic transcriptions)?

Hebu jamani tuache masihara!
 
1.Bouquet - bʊˈkeɪ, bəʊˈkeɪ
2.Crisps - krɪsp
3.Awe- ɔ hili latamkwa kama vile wasema oo
4.Ewe- ˈeɪweɪ
5.Physique- fɪˈziːk
6.Gadget - găj′ĭt
7.Pneumonia - njuːˈməʊnɪə - herufi za Pneu zote zinatamkwa kwa neno la nju yaani na herufi ya ə inatamkwa o

Upo hapo?
Bora yako hata wewe una-idea japo kidogo.
 
Ndio, ila sidhani kama itasaidia kufanya transcriptions ambazo zinasomwa na watu wasio na ujuzi na mambo ya phonetic symbols na diacritics marks.

Ni kweli, ndiyo maana nikampa links na wazo mtoa mada wapi pa kupata msaada wa uelewa.

Hayo mengine nilidhani angalau atakuwa amesoma masuala ya Lugha A level ya enzi zile "in the 80s" maana walimu walikuwepo.
 
Ulifanya vizuri maana mambo mengine ni kucholeshana tu, mtu hajasoma mambo ya msingi (basic concepts) alafu anataka uje umkalilishe tu kiurahisi; ivi wanafikiri linguistics ni mchezo?
 
Back
Top Bottom