Wasalaam wataalam wa lugha ya kiingereza.
Twende kwenye point.
Mf
This is John's pen.
Hii ni kalamu ya John.
Na kama ni ya James tunasema
This is James' pen.
Je kama wamiliki wa hiyo...
Ndugu wana jf
Poleni kwa majukumu ya kila siku kwa miangaiko ya huku na kule..... pasipo kupoteza muda ngoja niende kwenye mada
Ndugu zangu lugha ya kiswahili n lugha nzuri sana, pia ndio lugha...
habari wadau,
Natumaini humu ndani tupo watu wa kabila tofauti.Ningependa mtu anisaidie kuntafsiria hii lugha ya kinyiha ikibidi nijifunze kidogo. Nitatoa baadhi ya maneno ama sentensi hapa chini...
MTOTO WA BABA HAGUSWI.
1)Shikamo kaka mkubwa,pole kwa kuchapwa fimbo.
Usihofu ndo ukubwa,umeepuka mkumbo.
Usiuwaze ubwabwa,ulochanganywa na shombo.
Huyo mtoto wa baba,haguswi eti haramu.
2)kweli...
Habari
jamani tunabishana hapa
Wakristo cha kubebea maiti wanaita Jeneza
je waislamu kile wanachobebea maiti kutoka msikitini kupeleka makaburini wanaitaje?
1:kisukuma - Lugha ya asili angalau nikiwa vijijini napata muda wa kubadili mawazo na wazee kwa lugha asilia ( pia asiyekubali kwao ni mtumwa)
2:kihispania - ni mpenzi wa Barcelona, nafurahi sana...
Wataalamu wa lugha ya Kiswahili njoon huku mtujuze kuhusu hiyo ISTILAHI "KIFYONZEO" maana mie nimebaki kizani [emoji1] [emoji1] [emoji28] [emoji28] [emoji3] [emoji3]
Naomba tujadili juu ya hili kosa la kifonolojia ambalo watumiaji wa kiswahili wamekuwa wakilitenda panapo au pasipo kulijua na namna ya kuliepuka. Nitaeleza halafu kisha nguli wa hii lugha...
French Learning From a Linguist Expert.
Experienced in Teaching higher learning students,Professionals: Lawyers, Advocates,East African parliament Members,Businessmen, travellers, Primary pupils...
Habari wana-Jamii forums! Karibuni tujifunze kwa pamoja kama mada inavyojieleza.
Tarakilishi=Computer.
Mtandao=Network.
Mdahalisi=Internet.
Barua pepe=E-Mail.
Tovuti=Website.
Peruzi=To surf...
Kama wewe ni Mdau wa lugha ya Kiswahili unakaribishwa katika jukwaa la Kiswahili lililosheheni mambo ya kutosha kuhusu Kiswahili kwa wasomaji wa ngazi zote.
Pakua App ya MWALIMU WA...
Mimi ni mwanafunzi wa Kiswahili na nina maswali juu ya lugha.
"Bwana Amri Abedi aliandika mashairi yanayokuwa magumu."
Kwa nini sentensi hii si sawa? Nataka kuandika "Bwana Amri Abedi aliandika...
Kwenu wajuvi wenye uelewa wa lugha na mila za kitanzania hebu tafadhari nijuzeni kuna maana gani mtu akisema KINYAGO TUKICHONGE WENYEWE NA KUKIWEKA SEBULENI ALAFU KITUTISHE??
Habari wanajamvi,
Nimetimba tena kwenye jukwaa letu pendwa nikihitaji ufafanuzi wa maneno haya, naona tumekuwa tukiyatumia sana kimatamshi ila yamekuwa yakinitatiza kimaandishi.
Kuna neno huwa...
Guys,
Naomba msaada wa haraka kuhusu neno "VILASI."
Nadhani hili neno linahusiana na masuala ya ubatizo; sasa kuna kifungu cha maneno nimekutana nacho ambacho natakiwa kukitafsiri kwenda...
Mimi napenda sana kujifunza Lugha yetu hii ya Kiswahili. Leo ningependa kuwashirikisha juu ya changamoto inayowakabili watu wengi sana katika kutamka baadhi ya maneno ya Kiswahili. Kuna maneno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.