Wakati niko shule, yaani shule ya msingi, sekondari na hata chuo, nilikuwa naamini kabisa kwamba kiswahili ndiyo lugha yenye umiliki wa neno mama.
Pia nilikuwa naamini lugha nyingine zinazotumia...
Hakika hali wa shani,kila jambo lina asili yake.Sababu kila jambo lina asili yake,bila shaka ushairi wa kiswahili una asili yake.Hapa nina maswali yaliyomili katika kichwa cha habari hapo juu...
How Many Languages of Africa Are There?
Not only is Africa the second most populous continent in the world with over one billion people, but it is also home to the highest linguistic diversity in...
CHOZI LA MADHABAHUNI.
1)Inataka ujasiri.
Kweli kufichua siri.
Watakiwa uhodari.
Uvae ujemedari.
Tena ufanye kwa hari.
Kuitangaza habari.
Huo ni utangulizi.
Chozi la madhabahuni.
Siyo siri kuna...
KILE KITU CHA USIKU.
1) Mchana kinalegea, nguvu usiku chapata,
Kama vile chabembea, ajabu kukikamata,
Taratibu chasogea, mwendo wa pole wa bata,
Kile kitu cha usiku, hata mchana si kipo?
2) Tena...
Nina uhakika nina gundu,
Haifichiki kama nundu,
Wazi wazi bila ukungu,
Hii ya leo ni kali, nimechoka paka basi.
Nilikua daladalani,
Mtoto mzuri pembeni,
Anasimu kiganjani,
Hii ya leo ni kali...
KARIBU MKOROMIJE SISI TUNAKUNGOJEA
Daudi bashite pole, huruma nakuonea
Koromije polepole, karibu twakungojea
ulijitia kiherehere, jiji ulilivamia
sasa unarudi na ndala, kipi ulicho sahau?
Wewe...
Kama kichwa cha habari kisemavyo.
Neno gani la kiingereza lina herufi tatu tu Lakini linaleta maana.
Mi nimeeanza na.
1.And
2.Use
3.But
4.See
.
.
.
.
.
.
.
.
100.Bye
Natafuta wafasiri wanaoweza kufasiri lugha hizi kwenda katika Kiingereza: Bangala, Kizigula na Mai Mai.
Walio na uwezo huo tafadhali waje inbox.
Asanteni.
Kadri siku zinavyoenda ndivyo Lugha yetu ya Kiswahili inavyozidi kufa na kupoteza msamiati wake fasaha kuna baadhi ya maneno na herufi zinaharibu Kiswahili mfano
Neno kama :-
SHEMEJI sasa...
Maneno mengi huwa na maana tofauti kadli mazingira. Kwa hali hiyo mimi naona maana iliyotolewa kama " ni sauti za nasibu zinazotumika katika mawasiliano baina ya jamii fulani sio sahihi kwa sababu...
“JUMBA LA AJABU”
************************
_______Hadithi za ngano na visasili zina umuhimu mkubwa kwa jamii, zinatoa maaso, maonyo na ujumbe. Aidha, hadithi zinakuza akili za watoto na kuwafanya...
Which is the correct sentence among the following sentences written below :-
[emoji637] If I were you, I could build a huge house rather than buying a beautiful salon car
[emoji638] If I was...
Jamani naombeni mwenyekitabu kizuri cha English grammer anitumie hapa tusaidiane kusoma hii lugha! Au hata jina la kitabu kizuri cha grammar pia nikatafute madukani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.