Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,382
- 3,570
Wakuu na wataalamu wa kiswahili naomba mnidadavulie maana ya neno hilo.
Nimemsikia mkuu wa nchi akilitumia mara nyingi katka hotuba zake*yeye ni raisi wa Watanzania wanyonge*
WANYONGE NI WATU WA AINA GANI HASWA? Manesi, walimu, Madaktari, waso na ajira au wakulima na wafanyabiashara.