Haya maneno yana maana gani?

Mugabe one

JF-Expert Member
Nov 15, 2016
2,327
1,684
Wanajf nawaomba mnisaidie nahitaji ufafanuzi nielewe maana ya maneno yafuatayo:
Mfano mtangazaji wa TV au radio, au gazeti anasema Mbowe amekamatwa na madawa ya kulevya:
1.Misokoto 500
2.Kete 500
3.Puli 500
Nahitaji hayo misokoto,kete,puli tu.
 
Mulize mzee Sianga ndiye mtaalam wa kupambana na matuzi ya weeds.
 
Wanajf nawaomba mnisaidie nahitaji ufafanuzi nielewe maana ya maneno yafuatayo:
Mfano mtangazaji wa TV au radio, au gazeti anasema Mbowe amekamatwa na madawa ya kulevya:
1.Misokoto 500
2.Kete 500
3.Puli 500
Nahitaji hayo misokoto,kete,puli tu.
Msokoto:
Ni ile ambayo imeandaliwa kama sigara tayari kwa matumizi.

Kete:
Hii ni ile ambayo imefanyiwa processing ya kwanza kutoka kwenye puli na kufungwa katika kifungu kidogo tayari kuingizwa sokoni ambacho baadae ndo hutengenezwa kuwa kete.

Puli:
Hii ni ile ambayo fresh from shamba yaani ni baada tu ya kuvunwa na kukaushwa. Ni kama vile unavyoona mpunga kabla haujaondolewa kwenye majani.
 
Kwa nini umetumia jina Mbowe
Hakuona jina lingine kwa nini usingetumia
Jina kama Polepole
 
Msokoto:
Ni ile ambayo imeandaliwa kama sigara tayari kwa matumizi.

Kete:
Hii ni ile ambayo imefanyiwa processing ya kwanza kutoka kwenye puli na kufungwa katika kifungu kidogo tayari kuingizwa sokoni ambacho baadae ndo hutengenezwa kuwa kete.

Puli:
Hii ni ile ambayo fresh from shamba yaani ni baada tu ya kuvunwa na kukaushwa. Ni kama vile unavyoona mpunga kabla haujaondolewa kwenye majani.
Tukutane sentero jumatatu saa 3 asubuhi
 
Msokoto:
Ni ile ambayo imeandaliwa kama sigara tayari kwa matumizi.

Kete:
Hii ni ile ambayo imefanyiwa processing ya kwanza kutoka kwenye puli na kufungwa katika kifungu kidogo tayari kuingizwa sokoni ambacho baadae ndo hutengenezwa kuwa kete.

Puli:
Hii ni ile ambayo fresh from shamba yaani ni baada tu ya kuvunwa na kukaushwa. Ni kama vile unavyoona mpunga kabla haujaondolewa kwenye majani.
Asante sana mkuu kwa ufafanuzi wako huo!
 
Back
Top Bottom