Naomba wataalamu wa Lugha mnisaidiea kuhusu suala hili.
Mimi nasikitishwa sana kuona vyombo vya Habari vya kielektoniki vikiita majina ya kiingereza baadhi ya Vipindi vyao wakati vipindi hivyo lugha inayotumika ni Kiswahili,
Hivi ni kweli kiswahili hakina msamiati wa kutosha au ni ukosefu wa ubunifu? na Je wadau wa kiswahili wameshindwa kuliona hilo?