Rijali الرجال ni neno linalotokana na lugha ya kiarabu,likimaanisha "Mwanaume" kwa lugha ya kiingereza itatafsirika kama "Male"Naombeni kujua maana ya neno hili " lijali"
Hapana Mkuu,naomba nikurekebishe,Rijali haina maana kua ni "Kijana"Rijal ni neno la kiarabu maana yake ni KIJANA.
LIJALI au RIJALI ni neno la kiswahili maana yake ni mwanaume wa mbegu
Mbona tayari unalijua! Au unataka kufahamu neno "lijali"?Naombeni kujua maana ya neno hili " lijali"
Kwa jibu lako, unamfahamisha. Yeye ameomba kujua ni vyema ukamjulisha.Rijal ni neno la kiarabu maana yake ni KIJANA.
LIJALI au RIJALI ni neno la kiswahili maana yake ni mwanaume wa mbegu
gud mkuu sijazipitia kamusi ila nashkuru ulichoongea naamini kitakua ni kweli kwa sababu kuha ina kawaid a ya kukua kwa kuongeza msamiati wake na hili neno kama lilivyyo limekopwa kama lilivyo na lilianza kutmika 9zamani sana katika lugha ya kiswahili likionesha mwanaume hassa katika vile vitabu vya kaleRijali ni Kiswahili kabisa, neno la kukopwa kutoka Kiarabu, imepokelewa katika kamusi ya TUKI. Haiko katika kamusi za kale zilizokusanywa Unguja (kama Madan, Sacleux), lakini iko kwa Velten aliyekusanya upande wa bara mnamo 1890. Maanake dume, mwanaume jinsi ilivyoelezwa hapo juu.