Sasa msianze kunirukia na kunishadadia kwa kusema mtu ana sura ya kiatu wakati kiatu chenyewe ninachokizungumzia wala hamkijui. Labda chaweza kuwa kile cha ‘ko-ko-ko' au vile vya ngozi...
Kuna haja ya kufahamu maana halisi jipu na kutumbuliwa kwake.
Yawezekana hadi sasa hatujawahi kuwa na jipu wala mtu kutumbuliwa au kama wapo basi ni wachache kuliko inavyodhaniwa.
Maana tangazo...
Lugha yetu imekuwa pana na yenye matata mengi sana.
Ndugu zangu wapenda kiswahili napenda kujua ipi kati ya hizi sentensi ni sahihi na halisi kwa huyu muusika (FUNDI)?
1; FUNDI uashi...
Wana JF nimekuwa nikipata ukakasi kuhusu matumizi ya maneno Jeneza na Sanduku la Maiti/Marehemu. Mara nyingi watu wamekuwa wakiyatumia maneno haya mawili kana kwamba yaanamaanisha kitu kimoja...
Naomba msaada jaman kuna watu tunabishana nao hapa wengine wanadai ''hakushiba sana''kwa madai Kwamba sarufi ya kiswahili haina dhima ya ''Ja''
Na wengine wanadai 'hajashiba sana' lakini...
Taswira
Alimkuta amelala,
Akamziba masikio,
Kisha akamwambia,
"Amka[emoji779] Huu mchana wewe".
Hakua kiziwi,
Ila alikua fofofo,
Kwa mnong'ono wa jazba,
"Shauri yako na maisha yako[emoji779]"...
NDIO MFALME SASA
Kaumu vumilieni ndivyo hivyo ishakua
Yeye kashiika mpini kiongozi bwana juha
Haya mwingi akilini hata ma
mbo ya murua
Sasa ni Maliki wetu Muhimu kumuelewa
Muhimu kumuelewa...
VERBS
these are words that name an action or describe a state of being. They describe what is happening in the sentence. In fact every complete sentence needs to include at least one verb.
Types...
SHOMA AHA HADORI!
VITETO NA MALUSIMO A CHATHU...
1. Kiruke cha ibwe kimanywa ni igondwa.
2. Kitambi cha muimi ni kiumbi.
3. Ekwira ima si iti anakulie.
4. Nkoma mbiri nyika ni kuntu na mlamue.
5...
Wanabodi,
Tusiwalaumu viongozi wetu kutumia baadhi ya maneno yasiofaa au yasistahiki tukidhani viongozi hao, wanafanya makusudi, tuwasamehe bure viongozi hawa, maana kiukweli kabisa, kuna...
Wana JF
Kuna katabia nakaona sana siku hizi hasa kwa akina dada na baadhi ya vijana kupenda kuchanganya kiswahili na kiingereza katika mazungumzo ya kawaida tu. Neno kubwa linalotumika ni...
Change is never easy. Work hard at what you want till it becomes part of you. No quick fix solution. Do it till it's hard for you to go back to your old way of doing things.
#HAPAKAZITU
Wakuu nimepata scholarship ya kwenda kusoma Master chuo cha University of leeds. Nimeambiwa lazima nifanye mtihani wa IELTS.
Kwanza nikiri kwamba kingereza cha kuongea nipo shallow ila kuandika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.