Wana jamvi,
Nimeanza kusoma kitabu cha Marehemu Shaban Robert kiitwacho kusadikika.
Ninakisoma kwa speed ndogo ili nielewe vizuri maudhui yake.
Naomba mlio nacho mniunge mkono.
Kazi hii ni ya mkataba wa mwezi mmoja ambao unaweza kuongezwa. Mfasiri/mkalimani huyo, anatakiwa kuwa na sifa ya uelewa mzuri wa lugha zote mbili, alie na uwezo wa kufasiri kwa kasi na ufasaha...
Wasalaam
Niende moja kwa moja kwenye Maada
Mi ningependa kujua "Asiatic Moslems" wanaitwaje katika lugha yetu adhimu ya kiswahili. Lengo si lingine bali ni kijifunza na naihitaji hii knowledge...
Kiswahili ni lugha nzuri na iliyo tamu sana.
Na ni moja ya lugha zilizo rahisi kujifunza.
Tatizo moja kubwa nilionalo mimi ni ukosefu wa taasisi imara za kukikuza.
Baadhi ya watu hudai...
Asalam aleykum,natumaini ndugu zangu waisilamu mko vizuri baada kupata futari,leo nimemsikiliza mkuu akiongea na ma RPC wote,nisiwachoshe sana naomba wale wataalamu wa lugha waniambiea haya maneno...
Looking to improve your English vocabulary? Then this is the right place for you.
Feel free to post any word together with its meaning, origin, etymology, an example of how it's used in a...
Habarini wana JF, Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu ninayefanya uchunguzi kuhusu lugha: naombeni msaada wa methali tano kwa lugha ya kichagga zinazomhusu mwanamke na maana zake , ASANTENI
Anaandika Amana Epaphra
Baraza la Kiswahli la taifa (BAKITA) limesema kuwa limesikitishwa sana na kitendo cha Wajumbe wa Tume ya Kuchunguza mchanga wa Madini kuibua neno la uongo kuhusu mchanga...
Kama ambavyo inajulikana manenk mengi ya kitaa huanzia jela.. Inasemekana jela ndiyo kuna masela wengi na maneno mengi ya kihuni huanzia huko.
Ingizo jipya mwaka huu ni neno'mzee baba"hili lina...
Kuna watu wanang'ang'ania kuongea English ili kujipambanua kuwa wasomi.Lakini English yenyewe ni vunjashingo. MFANO: Tundu Lisu aliongea Kiingereza Bungeni jana ktk mjadala wa wizara ya nje...
Kuna tangazo limekuwa likirushwa kupitia Luninga na vituo vya redio na kupitia tangazo hilo imekuwa ikisikika sauti ya mheshimiwa Rais akiwataka TANESCO kukata umeme popote pale bila kuogopa...
Andika sentensi yoyote ya kiswahili ambayo ni ngumu kuitafsiri kwa kingereza au sentensi ya kingereza ngumu kutafsiri katika kiswahili nikupe msaada fasta.
Pia wadau mnaruhusiwa kuchangia
CHETI MWATAKA CHA NINI
1)Ingelikuwa elimu,iwekwe karatasini.
Ingelikuwa si ngumu,watu shindwa maishani.
Ingelikuwa ni sumu,ung'atwapo unyayoni. mwataka cheti cha nini,ndicho kifanyacho kazi ...
LUGHA YETU UTAMADUNI WETU
Naomba nitoe wito kwa wachagga wote wanaojua kichagga watufundishe kichagga na watutengenezee mada kabisa.
Ikiwa utakuwa unafundisha Kirombo useme unachofundisha ni...
SANAA YA ARUSHA.
1)Mwanzo ilianza vyema,kama nuru ikawaka
Tulionajambo jema,wengi wakajumuika
Lakini bado mapema,kama taa yazimika
Hi sanaa ya Arusha,kama dira yapoteza.
2)Wasanii wa filamu,ujumbe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.