Tume imedanganya yale nabaki hayaitwi "Makinika" bali yanatakiwa kuitwa MASHOBO

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,885
Anaandika Amana Epaphra

Baraza la Kiswahli la taifa (BAKITA) limesema kuwa limesikitishwa sana na kitendo cha Wajumbe wa Tume ya Kuchunguza mchanga wa Madini kuibua neno la uongo kuhusu mchanga wenye mabaki ya madini, na kumdanganya Rais na Watanzania.

BAKITA imesema neno "makinikia" lililotumiwa na Tume hiyo si sahihi na halipo katika msamiati wa Kiswahili. Neno sahihi linalomaanisha mchanga wenye mabaki ya madini ni MASHOBO na sio MAKINIKIA.

BAKITA imevitaka vyombo vya habari viache kutumia neno "makinikia" na badala yake vianze kutumia neno "mashobo" kuanzia sasa.

Nini maoni yako??
 
Back
Top Bottom