Kuna tangazo limekuwa likirushwa kupitia Luninga na vituo vya redio na kupitia tangazo hilo imekuwa ikisikika sauti ya mheshimiwa Rais akiwataka TANESCO kukata umeme popote pale bila kuogopa.
Mheshimiwa husikika akikazia KATA!!!! na baadae anasema ni maneno mawili tu, 'KA' na 'TA'
Jamani hayo siyo maneno Bali kwa lugha rahisi ya kiswahili zinaitwa silabi ambazo ndizo zinazounda neno KATA.
Najuwa wengi mtakuwa mmeelewa hata kwa wale ambao mlikuwa hamjui
Kwa mantiki hii na kupitia Uzi huu sasa ninaziomba mamlaka husika kufuta tangazo lile kwani linaweza kuwa chanzo cha Rais wetu kudharaurika.