Naomba kwa wataalamu ya lugha ya kiswahili na kiingereza wanisaidie kunipa tafsiri ya kina ya maneno yafuatayo:
1. FORESIGHT
2. INNOVATION
3.CATALYST
Nawakilisha
Mtu wa Tanzania anaitwa Mtanzania. Je, wakutoka hapa wanaitwaje kwa Kiswahili sanifu?
1. Finland
2. Thailandi
3. Urugwai
4. India
5. Afughanistani
Kiswahili kina maneno mengi ambayo...
Sijui kama na wewe unapenda mashairi (poetry) kama mimi. Ngoja nikuwekee shairi moja la William Blake liitwalo A Poison Tree, yaani Mti wa Sumu. Nimejaribu pia kuweka tafsiri yake kwa Kiswahili...
Kila fani ina msamiati wake (jargon).
Yafuatayo ni baadhi ya maneno yanayotumika kwenye saikolojia:
1. Fakali (faculties)
2. Haiba (personality)
3. Fadhaa (neurosis)
4. Kumbukumbu limbiko...
¡Hola amigos,Estoy aprendiendo el idioma español desde hace un año. ¿Hay alguien aquí interesado en intercambiar comunicación en español?
Por favor, hágamelo saber.
Saludos,
Belinda
NGUVU MWISHO WA AKILI.
1>alipewa mwanadamu,mnyama zake ni pungufu.
Toka zama zama damu,zama zisizo na harufu.
Wote twende zamu zamu,ndivyo ataka raufu.
Nguvu mwisho wa akili,wajinga hawatambui...
Wadau mi nipo Dar nafuta mtu au mahala ambapo naweza kufundishwa lugha za kiarabu na kingereza.
Hivyo anayeweza kunisaidia ktk hilo naomba msaada wake.
Ikiwezekana tuwasiliane.
+255 716 453 548
Habari wakuu,tukumbushane kidogo kuhusu maandiko juu ya kichwa cha mada hapo juu..
Je ipi ni dhambi kutokana na maandiko na amri za mungu..?!
Karibu kujifunza..
RIWAYA: Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ) - Sehemu ya Kwanza
MTUNZI:ENEA FAIDY
Ilikuwa ni majira ya saa moja jioni ambapo mkuu wa while ya Mabango alikuwa ofisini kwake akiwa amechanganyikiwa...
Katika pitapita zangu za hapa nimekutana na makabila mengi Tanzania yenye mila na desturi tofauti katika kufanya kazi zangu
Ila katika pitapita zangu kila ninapokutana na watu tokea kabila la...
Wakuu,wanabodi,wanajamvi,wanajf
Lugha ya kiswahili ni tamu sana hasa pale unaposoma riwaya au mashairi matamu tena yenye ufundi toka kwa mafundi wa kiswahili.
Upande wa kiingereza kuna riwaya...
Kweli ni jambo LA kushangaza kuwa neno mapenzi ni will katika kiingereza wakati neno upendo ni love.sasa kwa nini watu husema nimefanya mapenzi na yule kaka au yule binti wakati neno hill...
Wasalaam...
Niende moja kwa moja kwenye maada:
Naomba kuuliza kuwa "Asiatic Moslems" wanaitwaje katika lugha yetu adhimu ya kiswahili?
Lengo si lingine bali ni kutaka kujifunza na pia zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.