Completely Overhaul; Je haya maneno yalituma sawa kwenye mzingira haya?

chanaga

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
344
190
Asalam aleykum,natumaini ndugu zangu waisilamu mko vizuri baada kupata futari,leo nimemsikiliza mkuu akiongea na ma RPC wote,nisiwachoshe sana naomba wale wataalamu wa lugha waniambiea haya maneno yalitumika vema COMPLETELY OVERHAUL
 
Inabidi uweke sentensi nzima ili kupata muktadha mzima.

Kuna wanaoweza kusema inawezekana ukafanya kitu kikawa "completely overhaul", kwa maana ya kwamba si "partly overhaul" (umevunja nyumba nzima na kuijenga upya, ukilinganisha na kuvunja upande mmoja na kuujenga tena)

Kuna wanaoweza kusema "completely overhaul" ni tautological repetition kwa sababu overhaul maana yake ni a complete change.
 
Unujua kupenda ila tambua Hanna kitu partly overhaul,neno overhaul limejikamilisha lenyewe.
 
Asalam aleykum,natumaini ndugu zangu waisilamu mko vizuri baada kupata futari,leo nimemsikiliza mkuu akiongea na ma RPC wote,nisiwachoshe sana naomba wale wataalamu wa lugha wabambiea haya maneno yalitumika vema COMPLETELY OVERHAUL
Ndio maana tunasema mkuu lugha inamsumbua
 
Kaka; Hii lugha ya malkia ukiongeza au ukipunguza herufi moja hukupeleka kwengine. Hakuna Completely overhaul bali Complete overhaul. Upo hapo?? Tunga sentence utakavyo ila maneno hayo mawili ni hivyo hutumika pamoja. Alipoyatumia tulijua alimaanisha kihivyo. Kuna aliyesema neno Overhaul lenyewe ni toshelevu ila namwambia kuwa kuongezea complete nayo husaidia kuweka msisitizo kuwa turn it upside down, inside out. Gusa kila mahali na kila sehemu. Make it a new.
 
Inawezekana kusema "completely overhaul" na ukawa sahihi katika sarufi ya Kiingereza.

Kwa mfano, "You have to completely overhaul your life to avoid cancer".

Ndiyo maana nikaomba sentensi ili kupata muktadha vizuri zaidi.
 
Mkuu;
Kama hukumsikia aliyeisema hiyo sentenzi sio rahisi kumuelewa mleta hoja. Hakuwa na maana hiyo msemaji wa sentensi. Alikuwa na maana kuwa; Overhaul kabisa kabisa
 
Nimeeleza hapo juu kwamba bila ya kuiweka sentensi nzima ni vigumu kujua kama maneno yametumika sawa au vibaya.

Ila yanaweza kutumika inavyotakiwa au isivyotakiwa.

Nilichojibu katika nukuu yangu hapo juu ni hoja kwamba maneno haya hayawezi kutumika pamoja bila kuvunja sarufi.

Yanaweza kutumika pamoja bila kuvunja sarufi kama nilivyoonyesha.

Mkae mkijua jwamba si kika mtu ana muda mchafu wa kumfuatilia Baba J na kika tamko lake.

Hivyo mkitaka uchambuzi wa alichosema, kiandikeni hapa.

Mtu mwenyewe tunamjua anatafuta kuwekwa "Fonti Fedi" tu.
 
Nnani gwiji wa ung'eng'e wa lugha ya malkia hapa? Mnajifanya kusahihisha tu....! Huwezi kuzungumzia usahihi wa lugha ya Kiingereza ambayo imechanganywa na Kiswahili.
 
Mkuu;
Kama hukumsikia aliyeisema hiyo sentenzi sio rahisi kumuelewa mleta hoja. Hakuwa na maana hiyo msemaji wa sentensi. Alikuwa na maana kuwa; Overhaul kabisa kabisa
Mkuu tupo pamoja kwa kweli pale alitoa maneno kutoka lugha ya kisukuma akayatupia kwa kimombo,kwa kweli yaliyumika vibaya.
 
Yaani mmekosa vitu vingine vya kuongea yaani muda wote unaongea swala la kiingereza kilichochanganywa na kiswahili??!! Are you serious you slave?? Nikimuona mtu anahangaika na kiingereza na mwona anamawazo ya kitumwa! Hapo alikuwa haongee grammer!
 
Sasa mtumwa ni yupi kati yangu au huyo aliyetawaliwa fikra ambaye anaamini watu hawatamuelewa akiongea kiswahili pekee bila ya kuchanganya na kingereza?
 
Soma hapa chini ndo utanielewa!!
IMG-20170528-WA0013.jpg
 
Back
Top Bottom