Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
eti wakuu kuna tofauti yoyote kwenye hayo maneno? karibu.
1 Reactions
26 Replies
19K Views
Maneno haya mawili yamekua yakitumika kwa kuingiliana. Mfano wathibiti ubora wa elimu, wadhibiti ubora wa bidhaa nk. Wengine wanatumia wadhibiti ubora wa elimu, wadhibiti ubora wa bidhaa. Je kipi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Màmboz wakuu humu ndani,habar za mida hii. Kwa wale wenzangu na mimi ambao bado ni wapenzi WA clouds redio Bila Shaka mtakuwa mmeshawahi kusikia ka kipind flan ambako huwa kanachomekewa asubuhi au...
4 Reactions
30 Replies
8K Views
Hili neno Tunu linamanishaga nini?
0 Reactions
6 Replies
30K Views
Haya si Mashindano Dr. Bigwa wa maandamano Wakashindwa mapatano Dr akayaaga Mashindano Dr. Naye akajiuzulu Mafisadi Msululu Wakiitaka Ikulu Udini kwenye hekalu Ikawa ya Mmoja mjinga Wanaogopa...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
*SANAA NI NINI ?* Kwa maelfu ya miaka sanaa imekuwa ikiendelea kushika uzito katika jamii nyingi za wanadamu huku ikiwa ni msaada katika jamii tofauti...
1 Reactions
4 Replies
10K Views
KAMA KUPENDA NI SUMU 1)Mahaba usiniue,nifaidi penzi lakoPenziletu lichanue,niwe nawe peke yako Kwako peke nitulie,nisije kwacha mwenzako Mwenzako nisiumie, kukosa upendo wako Basi acha nizimie...
0 Reactions
3 Replies
978 Views
Uswazi ndiko misemo inakoibukia....cheki hii misemo na weka ya kwako..... Usijisifu una mbio, msifu na anaekukimbiza....... Fukara hafilisiki.... Ukijenga nyumba ya vioo usianzishe ugomvi wa...
0 Reactions
123 Replies
97K Views
Kuna aina mingi ya miti lakini mti hiyo inafahamika kwa majina mbalimbali. Mfano mti unawaza kuhufamu kwa jina la kiswahili au kitaalamu au kwa jina la kikabila. Naomba kufahamu mmea jamii ya...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nimekuwa nikikutana na neno "BTW" kwenye nyuzi nyingi humu, ila nimeshindwa kujua maana yake naomba wazoefu was kulitumia hili neno wanisaidie kujua maana...
3 Reactions
111 Replies
19K Views
Kwenye Kiswahili hakuna neno "kupelekea". Hili ni moja ya maneno yaliyopata mashiko siku hizi lakini ukweli ni kuwa hiyo ni "broken language". Mfano: 1. Tatizo hili limepelekea kila mtu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kutokana na jina hili kuwa maarufu TANZANIA,ni jepesi kulitamka hata watoto wadogo wamelishika haraka na kulitamka kama BASITE licha ya hivyo ni neno lenye tafsida linalobeba maana nyingi...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Mama nimeshakua.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
WanaJF naomba mnisaidie, mfano sentensi ifuatayo nitaibadilije iwe ktk lugha ya kiingereza? Baba! Mimi ni mtoto wako WA ngapi? Ni hilo tu, asanteni. Naomba kuwasilisha.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mara nyingi mtaani utasikia watu wakisema, “Jamaa anapiga slang si mchezo.” Wengi hudhani “slang” ni Kiingereza cha Kimarekani. Lakini maana halisi ya “slang” ni lugha ya mtaani. Ni ile lugha...
1 Reactions
48 Replies
7K Views
Tumezoea sana kutumia neno "darubini" kwa maana ya kifaa kinachotumika hospitalini kwa ajili ya kuchunguzia vijidudu. Lakini ukweli ni kwamba, hiyo si "darubini" bali ni "hadubini". Tazama picha...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Katika mambo ya utawala na menejiment (administration and management), kuna istilahi mbalimbali zinazohusika ambazo huenda hazijajulikana kwa wengi. Kwa mfano: 1. Mrejewa – referee...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom