Da tall gal
Member
- Oct 29, 2016
- 11
- 9
Habarini wana JF, Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu ninayefanya uchunguzi kuhusu lugha: naombeni msaada wa methali tano kwa lugha ya kichagga zinazomhusu mwanamke na maana zake , ASANTENI
Kwa lugha ya kichaggaHizi methali za kawaida ila kwa lugha ya kichaga au nimekuelewa vibaya.
sharti uyaogeHabarini wana JF, Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu ninayefanya uchunguzi kuhusu lugha: naombeni msaada wa methali tano kwa lugha ya kichagga zinazomhusu mwanamke na maana zake , ASANTENI