Kuna watu wanang'ang'ania kuongea English ili kujipambanua kuwa wasomi.Lakini English yenyewe ni vunjashingo. MFANO: Tundu Lisu aliongea Kiingereza Bungeni jana ktk mjadala wa wizara ya nje, nanukuu kingereza chake Lisu: "WE DON'T KNOW NOTHING". Note: Hiki siyo kiingereza, bali ni upuuzi. Shida ya watu walioishia Master's Degree hupenda kujionesha kuwa wana PhD.Kumbe hakuna.