Nakumbuka wakati nipo mdogo
Mama kuna muda mwingine
Huwa ana mtuma Dada Akimwambia "oko"chungu jikoni
Lakini sasa ivi pia nasikia
Matangazo yana sema "okoa"pesa naombeni mnisaidi ili neno wapi...
Aisee katika mlolongo wa maneno lukuki yanayojitokeza kutokana na matukio ya kitaifa hivi sasa hili neno "DUDE" limeibuka na kushika hatamu katika vyombo vya habari na kwenye mitandao ya kijamii...
SENTENSI ZIMETOA UTATA KWA WATU WALIPOZISIKIA BASI KAMA UKIZIELEWA SAIDIA KUEZIELEZA.
1:yule kbogoyo asiyekuwa na meno yote leo kakamatwa sokon anaiba anaiba mifupa ya nyumbu.
2:ule mmbu...
Pisi aponi tu yu.
Kwa miaka mingi methali na semi za kiswahili zimekuwa nyenzo fikirishi ya kujifunzia,kuonya kutahadhalisha na hata kuburudisha.
Lakini sasa naona maendeleo ya teknolojia kama...
TUSHAANZA KUTISHANA.
1)Ile ni siku ya kwanza,tulidhani yamepita.
Kumbe mwanzo yalianza,bunduki kwenye utata.
Kwa lipi tunajifunza,ama mapito twapita.
Tushaanza kutishana,katika kisiwa hiki...
Mada hii inalenga kukuwezesha:
(a) Kufafanua maana ya neno "utafiti"
(b) Kueleza historia fupi ya utafiti katika bara la Afrika
(c) Kuorodhesha vifaa vinavyopaswa kuwepo ili utafiti ufaulu
(d)...
ELIMU AU MAIGIZO?
Uhakiki wa Sera ya Lugha Katika Elimu Tanzania
Z.S.M. Mochiwa katika Kioo cha Lugha 2,1996/97:41-58
Z.S.M.Mochiwa katika kuhakiki sera ya elimu katika Tanzania anaeleza...
Kila ninapotazama mbele –tuseme miaka 20 ijayo – kuhusiana na lugha yetu ya Kiswahili, naona tunakoelekea kama taifa si kuzuri sana.
Zamani ilizoeleka utani kwa watu wa kanda ya ziwa ambao kwa...
Karibia maana halisi na majina ya maeneo mbalimbali hapa nchini Tanzania tayari nimeshapata ' Kiini ' chake ILA mpaka hii leo naandika huu ' uzi ' sijapata maana halisi ya hili neno la eneo...
Kipindi tukisoma msingi na sekondari tuliimizwa sana kuifahamu lugha yetu vyema pengine na bakora zilikuwa zikitembea lakini yote hiyo ni kukufanya uelewe. Ukijiuliza namna ulivyokuwa ukijifunza...
Naombeni kuwauliza wana jf hivi ule uandishi wa anuani ya mwandishi kwenye barua [emoji404] kuwa kama hivi[emoji116] [emoji116]
------------------------------
Kalenga kidamali,
S. L. P 42990...
Habari za mchana wanajf jaman naomba kujua tafsiri ya hizo pointi hapo kwenye picha naitaji kuziandika kwa Kiswahili nimeshindwa kuyaandika kwa Kiswahili hivyo naomba mwenye kujua maana yake kwa...
Habari za muda wanajamvi...?
Nimekuwa nikifuatilia habari mbalimbali za kitaifa na kimataifa, kuna maneno kama manne huwa nakosa tafsiri yake ya moja kwa moja kwa kiswahili sanifu, Wataalamu wa...
Sina budi kwenda kuoga
Sina budi kwenda kulala
----------------------
Hivi kwanini isiwe:
--------------------------
Nina budi kwenda kuoga
Nina budi kwenda kulala
--------------------------------...
Habari zenu wakuu nina msemo ambao kwangu nimgumu kidogo hivyo nilikua naomba msaada nifahamu kwamba:-
Nini maana ya msemo "MWENDA TEZI NA OMO, MAREJEO NGAMANI"
AJALI YA LUCKY VICENT.
1)Ni msiba wa taifa,umeukumba Arusha.
Tena bila taarifa,kifo hakina bahasha.
Kifo hafanyiwi dhifa,kifo hakina bashasha.
Poleni wana Arusha,msiba umetupata.
2)Ni huzuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.