Mtumwa baniani
Senior Member
- Apr 13, 2013
- 128
- 26
Kazi hii ni ya mkataba wa mwezi mmoja ambao unaweza kuongezwa. Mfasiri/mkalimani huyo, anatakiwa kuwa na sifa ya uelewa mzuri wa lugha zote mbili, alie na uwezo wa kufasiri kwa kasi na ufasaha mazungumzo ya papo kwa papo na hata yale ya sauti katika picha za video. Awe na ufahamu wa matumizi ya program za kuingiza maneno katika video na ule wa matumizi ya kawaida ya Kompyuta.
Anaejisikia kuwa anazo sifa hizo na zingine za ziada, tafadhali aje PM.
Update:
Jamani,tumeondoa Kipengele cha uwezo wa kufasiri papo kwa papo maana tumeona kimewaogopesha wengi. Wale walio na background ya linguistics, Ualimu na Journalism wako encouraged kuomba hasa wakina Mama.