Asiatic Moslems wanaitwaje katika lugha yetu adhimu ya Kiswahili?

McNair

Senior Member
Mar 18, 2017
182
130
Wasalaam

Niende moja kwa moja kwenye Maada

Mi ningependa kujua "Asiatic Moslems" wanaitwaje katika lugha yetu adhimu ya kiswahili. Lengo si lingine bali ni kijifunza na naihitaji hii knowledge kuitumia katika baadhi ya maandiko yangu...

Nawasilisha wakuu.
 
Back
Top Bottom