Naomba nisaidiwe kutafsi maneno hafuatayo kwa lugha ya kiingereza:
i. ASTASHAHADA.
ii.STASHAHADA
iii. SHAHADA
iv. SHAHADA YA UZAMILI
v. SHAHADA YA UZAMIVU
Natanguliza shukrani
Kuna utata kidogo umejitokeza katika kuandika barua za Kikazi hasa upande wa kichwa cha habari.
Mfano kampuni X inatangaza Nafasi kumi za kazi andika barua kuomba nafasi hizo Je Kichwa cha habari...
Maneno na Miundo ya maneno ya Kiswahili inayokanganya.
Baada ya kuandika juu ya Asili na Chimbuko la Kiswahili katika Afrika Mashariki, nitaeleza kwa muhtasari matatizo yanayoikumba lugha hii...
Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amelitaka Baraza la Kiswahili la Taifa(BAKITA) kuongeza kasi ya kusimamia maendeleo ya Kiswahili Kimataifa...
Lugha zilianza vipi, ni jambo ambalo halifahamiki. Labda rejea pekee ni kwenye Biblia na kisa cha mnara wa babeli. Hakuna anayejua hasa, Adam na Eva walizungumza lugha gani. Huenda ni vigumu kujua...
Habar wakuu,natanguliza shukran zangu kwenu wana jamvi.naomba kujuzwa maana ya nahau izi (1)kaa chonjo (2)kaa mkao wakula (3)omba radhi (4)piga mayowe .
Sent using Jamii Forums mobile app
Moja kwa moja kwenye mada;
Naombeni mnisaidie haya maneno nitayaandikaje kwa kifaransa,nataka nimtumie sms
"mapenzi ni kama ajali,huweza kutokea sehemu yeyote ile.Moyo wangu umejawa na furaha ya...
PAST CONTINUOUS TENSE (ULIOPITA HALI YA KUENDELEA)
Hii TENSE inahusisha tendo lililotendeka kwa wakati uliopita lakini bado tukio likiendelea kutendeka...
Kipi kiswahili fasaha cha kumwambia mtu aliyekutu ukamwitie mtu halafu huyo mtu uliotumwa hukumuona
Utakuja kumwambia jibu lipi kati ya haya hapa
(A) sikumuona
(b) sikumkuta
(c) nimemkuta hayupo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.