Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
COMENT CHOCHOTE HATA SHAIRI LENYE KULENGA UGUMU WA MAISHA, HALI HALISI MITAANI! NAANZISHA : Kifo cha maji kushoto, Kulia Kifo cha moto: Kukubali, kukataa, Kila moja ni balaa! Kote uko...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Hayo maneno matatu mipaka yake ni IPI na nini tofauti yake. Ujasusi Ukachero Ushushushu Na Tanzania tuna wote hao?
0 Reactions
22 Replies
15K Views
Habarini wana JF, Natumai ninyi ni wazima , naomba msaada kwa anaefahamu methali tano kwa lugha ya kichagga zinazomuhusu mwanamke na maana zake, ASANTENI
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Wakuu habari zenu, Naomba mnijuze hili neno kapuku linamaana gani humu JF maana kule kwetu Nyamalonda neno kapuku mtu asiejua lolote yani yupo yupo tu. Sasa wadau sielewi mnijuze. Sent using...
1 Reactions
15 Replies
10K Views
Naomba kutofautishiwa haya maneno Cock, hen na chicken yanatofautianaje? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
13 Replies
3K Views
habari za majukumu wapendwa! kama nitakuwa nimekosea jukwaa basi niwatake radhi kwanza. ila kama ni sahihi basi niendelee na swala langu hili hapa chini. neno "TOKA NJE au TOKA NDANI" huwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hamjambo wana JF wenzangu? Mimi nina swali, kama television huitwa runinga kwa kiswahili na decoder huitwa king'amuzi, je remote control inaitwaje kwa lugha ya kiswahili? Karibuni Saranga Dar!
0 Reactions
24 Replies
35K Views
Je neno Maiti liko katika ngeli ya 'a- wa' au 'i-zi'?
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Waispañola kama mpo sio mbaya tukabadilishana uzoefu na application nzuri nzuri za kujifunzia na kukazia pale tulipo, bienvenido todos en este la bueno grupo! Muchas gracias.
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Tafadhari kwa wale wataalamu wa lugha naomba tafsiri sahihi ya neno "Adam's Apple" kwa kiswahili na neno "mawazo"in English
0 Reactions
2 Replies
6K Views
1. Wastaala msumbuki, wa mbili hawavai moja. 2. Hala hala, mti na macho.
0 Reactions
1 Replies
5K Views
nlikua nafanya application nkakuta na hii sentesi "Seeks accommodation" na inatakiwa kuchagua 1.Yes if available 2.No Sasa mimi ninataka kuomba chuo hicho na nipatiwe na malazi chuoni je nichague...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Naombeni kuelimishwa ni kama tunachanganya Sana katika kuyatumia haya maneno Ninyi, Nyinyi, Wote, Nyote Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
18 Replies
8K Views
Habari za humu JF wadau, Naomba tofauti kati ya maneno haya mawili: kukaimisha na kukasimisha. Kama hujui tafadhali usichangie.
0 Reactions
13 Replies
13K Views
You think you know English better? Well, here's a test for you.. Apart from 'SALARY' write any other ENGLISH word that starts with 'S' and ends with 'Y'... Your time starts Now... DON'T CHEAT -...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Ni muda sasa huu msemo unanichanganya pia nashindwa kuelewa maana halisi ya msemo huu. nawaomba nyie wajuzi wa hii lugha mnieleweshe vizuri
1 Reactions
30 Replies
7K Views
KWANZA SALAM, Nimejiuliza bila majibu nini maana ya uchochezi? spika makinda amekataa hotuba ya kambi ya upinzini isiingie kwenye hansad kwakuwa eti imejaa uchochezi sasa nikawa najiuliza...
0 Reactions
97 Replies
20K Views
Ukizunguka Dar na mikoani utaona maduka mengi ya vifaa vya shule na maofisini vimeandikwa Stationary badala ya Stationery. Haya ni maneno tofauti kabisa. Rekebisheni hizo lugha.
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Hivi kweli tafsiri sahihi ya differentiate Y with respect to X ni tofautisha Y na X ,heshima zote kwa X? On a serious note ukizingatia central role of mathematics in science je lugha kiswahili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom